Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Asante!Pole kwa kupanda mlima
Asante!Pole kwa kupanda mlima
Mkongo? umeamkaje
Kujua unanipenda tu japo umeshanipa talaka ni furaha tosha.![]()
nafurah pia kulijua hilo, furaha yako ni moja kati ya vtu muhimu zaid maishan mwako, ntaidumisha daima.. Ntakupenda daima no matter ni situation gan tutakuwepo, ila still utakuwa moyoni mwangu, kutokuwa naw in love haimaanishi kuwa sikupend, hata nikiwa na mke mwingine stil uwepo wako moyon haufutiki.. Just nmekosa kitu fulan toka kwako cha kimaisha thats y nikamove on..

Nzuriiiii...za DRC?Habari za asubuhi wajameni?
You are a gentlemanTumeshayamaliza...
Alafu naomba unipe link ya KF-rules and regureshens, kwa usalama wangu na wa wengine ndani ya chama letu pendwa la KF, kama hutojali!!!
Mimi sizifahamuTumeshayamaliza...
Alafu naomba unipe link ya KF-rules and regureshens, kwa usalama wangu na wa wengine ndani ya chama letu pendwa la KF, kama hutojali!!!
![]()
nafurah pia kulijua hilo, furaha yako ni moja kati ya vtu muhimu zaid maishan mwako, ntaidumisha daima.. Ntakupenda daima no matter ni situation gan tutakuwepo, ila still utakuwa moyoni mwangu, kutokuwa naw in love haimaanishi kuwa sikupend, hata nikiwa na mke mwingine stil uwepo wako moyon haufutiki.. Just nmekosa kitu fulan toka kwako cha kimaisha thats y nikamove on..
Najiskia kidume zaid kwa kumuona mwanamke nimpendae zaid yuko happy sababu ya mimi...
Leo nikipata wasaa ntakupigia simu, niskie kisaut chako kitamu, n siku jimena akija na briz kigambon kuchukua zawadi yake ya 100k, waweza kuja pia.. Sina kinyongo nawe.![]()
![]()

Nope!Hard headed not am I!
Ilikuwa ni shauku tu ya kuungana na makapuku wenzie..Mhhh hapana....umeteleza tu kidogo au hana ulikuwa desperate sana??
We nawe unajibu tu kweli, kweli nini!!? Msinitie hatian bure.Kweli
Rabaeka...cc: makaveli
Bebi wangu ni handsome na sio choko. Sasa nyie kama mnatoka na wenye sura ngumu hilo ni tatizo lenuNa mwanamke utamuitaje mwanaume handsome...!!!! ntajie nan huyo nimpe darasa....![]()
Wengi tu, nikiorodhesha bitoz atalalamika naharibu uzi..Na mwanamke utamuitaje mwanaume handsome...!!!! ntajie nan huyo nimpe darasa....![]()

We nae mchonganishi... KhaaNimerudi sioni kitu hata historia sioni...naona tu post za Tetra mwanzo mwisho
Kwa Wachina SweetieKwa Wahindi au wachina
Maisha ni mafupi kuwa serious kila sehemu......Nilikuwa nakuzingua tu lakin don't take it seriously!! sawa??
We acha.. Kifo kitu kibaya, ilikuwa tunakufa tunajiona kwa kweli..Pole jamani...ungeenda sijui ningeishije mimi!! final destination ni movie nzuri sana ile aisee