Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Kumbukumbu yanguMbona umehuzunika ghafla..
Shululi kakazana niulzwe mimi, sasa mimi niulizwe nin!!
Kumbukumbu yanguMbona umehuzunika ghafla..
Shululi kakazana niulzwe mimi, sasa mimi niulizwe nin!!
Link ya nin mkuu!?Huna hiyo link kamanda??
Pamoja johShukrani
Makaveli ni Mzuri ila tatizo ukimsifia sana anaringa...ndo maana sipend sasa.Habari wanayo
Basi bibie, najua.. Usipayuke hvyo majiran wakaskia bure..Lazima utajua tu sababu ya pacha kupoteza kumbukumbu
Hapo anahusikaLazima utajua tu sababu ya pacha kupoteza kumbukumbu
Donti woreNdio najua ntapona!![]()
Zitarud tu, usijali.Kumbukumbu yangu
Maharagwe!!Mi mbona wa muda tu... Sema maharage ya jana usiku ndio yaliniletea matatizo........
Sitaki kabisa, sifa za uzuri kwa kweli.. Uzur wangu uko kichwan,kutafuta pesa n faragha basii..Makaveli ni Mzuri ila tatizo ukimsifia sana anaringa...ndo maana sipend sasa.

Kwani uongo!??Nimecheka sanaaaa
Yani hili jibu kiboko
Yani wewe.....
Ameishaelewa hatakusifia tena kwa uzuriSitaki kabisa, sifa za uzuri kwa kweli.. Uzur wangu uko kichwan,kutafuta pesa n faragha basii..
Y mwanaume niwe mzur wa sura bhana...![]()
![]()
![]()
Kf rulesLink ya nin mkuu!?