Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Jana ulivutwaSijaamka salama...nahisi nimepoteza kumbukumbu sikumbuki hata jana nilifanya kitu gan![]()
Jana ulivutwaSijaamka salama...nahisi nimepoteza kumbukumbu sikumbuki hata jana nilifanya kitu gan![]()
Nimerudi sioni kitu hata historia sioni...naona tu post za Tetra mwanzo mwishoRudi nyuma nimeshaweka
Tumuulize makaveli sasaJamani leo mbona sijielewi....sioni Magazeti sioni leo katika historia mbona hivi lakini?!!!!! kuna tatizo gni upande wangu huku.....![]()
Karibu sanaSawa
Ukizimaliza utaonaNimerudi sioni kitu hata historia sioni...naona tu post za Tetra mwanzo mwisho
Ndio huwa sipendi mie mwanamke aniite handsome..Nilisema mimi wanaume wazuri wengi ni mashoga....

Cheki ile video yake inaitwa "Trouble" ndio utacheka balaa kama movie hiviSijawahi, cheki video ya pinki, half nikakosa vituko..
"Demu ni demu tu, hata kama awe lesbian"Lez--------bian
Kujua unanipenda tu japo umeshanipa talaka ni furaha tosha.Nipe sababu ya furaha yako..

Hatimaye nimeyakamata!!!!!!
Tumeshayamaliza...Mpotezee
Nilikuwa nakuzingua tu lakin don't take it seriously!! sawa??Hapana. Kamanda sina hiyo jeuri natumia internet ya bure ya freebaaics.
Kwa nilivyoharibu..... Hicho cheo unastahili weweGenius
Sijaamka salama...nahisi nimepoteza kumbukumbu sikumbuki hata jana nilifanya kitu gan![]()
tatzo lako ni dogo nikirud dar kwisha kabisa..
Hard headed not am I!Kaishaelewa mkuu
Mhhh hapana....umeteleza tu kidogo au hana ulikuwa desperate sana??Kwa nilivyoharibu..... Hicho cheo unastahili wewe
KweliTumuulize makaveli sasa
Sahau hii ndogo tu.. Naja kumtibu my x.Sasa inabidi uende tu hospital jirani, sio kwa kusahau huko