Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Nimecheka sanaaaaWe nae mchonganishi... Khaa
Yani hili jibu kiboko
Nimecheka sanaaaaWe nae mchonganishi... Khaa
Basi usijali, nishajua tatzoKumbukumbu zangu leo hazijakaa sawa
Sikuwa desperate wala nini........ Niliamua tu kupiga gym ya vidole.(jkn)Mhhh hapana....umeteleza tu kidogo au hana ulikuwa desperate sana??
Huna hiyo link kamanda??You are a gentleman
Ukimalza kucheki zile movie, unakuwa hujiamin hata kidogo, unahisi hapo lolote laweza tokea..Pole jamani...ungeenda sijui ningeishije mimi!! final destination ni movie nzuri sana ile aisee
Nimeamka salama swt p sijui weye?Mkongo? umeamkaje
ShukraniNope!
Kukosea kupo kwa mwanadamu, ila m'bora ni yule anaekubali kosa na kukubali kujirekebisha...
Umefanya jambo la kiungwana ambalo kila muungwana anapenda iwe hivyo..
InterestingWengi tu, nikiorodhesha bitoz atalalamika naharibu uzi..
![]()
![]()
![]()
![]()
Basi sawa, nikajua ulikuwa bondia, migumii ya kichwa imekufanya ubongo u"shake well before use"Ayaaaaaaaaaa...mimi ni mcheza Netball bhaana sio bondia![]()
Umefurahi, kuskia nakuja kukuponya my x
We nae mchonganishi... Khaa

Lazima utajua tu sababu ya pacha kupoteza kumbukumbuWe nawe unajibu tu kweli, kweli nini!!? Msinitie hatian bure.
Mbona umehuzunika ghafla..
Unataka kunambia huwa unamsifia Briz uongo??Bebi wangu ni handsome na sio choko. Sasa nyie kama mnatoka na wenye sura ngumu hilo ni tatizo lenu
Mi mbona wa muda tu... Sema maharage ya jana usiku ndio yaliniletea matatizo........Ilikuwa ni shauku tu ya kuungana na makapuku wenzie..
Bebi wangu ni handsome na sio choko. Sasa nyie kama mnatoka na wenye sura ngumu hilo ni tatizo lenu

Powa Muzee ya ku-ccNzuri wajameni,
Vp mukongo
Ndio najua ntapona!Basi sawa, nikajua ulikuwa bondia, migumii ya kichwa imekufanya ubongo u"shake well before use"
Umefurahi, kuskia nakuja kukuponya my x



Habari wanayoUnataka kunambia huwa unamsifia Briz uongo??