Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana ulivutwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana ulivutwa
cc: makaveliTumuulize makaveli sasa
Ulikuwa bondia nin ujanan mwako!!?Kwan uongo!!!?
Afu Jj mbona magazeti siyaoni au nimepoteza kumbukumbu!!??
Ni poa sana, mishe zinaaendaje?
Na mwanamke utamuitaje mwanaume handsome...!!!! ntajie nan huyo nimpe darasa....[emoji138][emoji138][emoji138][emoji138][emoji138][emoji138][emoji138][emoji139][emoji139][emoji139]Ndio huwa sipendi mie mwanamke aniite handsome..[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Mahandsome wengi machoko[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Yep...."Demu ni demu tu, hata kama awe lesbian"
Fid q huyo
Mniulize nin sasa mie jamani..Tumuulize makaveli sasa
Nashukuru kwa kulitambua hiloSahau hii ndogo tu.. Naja kumtibu my x.
..............................Ntakwambia.Demu wake ni nani?
Wacha niisake.. Mrembo katun sana huyuCheki ile video yake inaitwa "Trouble" ndio utacheka balaa kama movie hivi
Pole jamani...ungeenda sijui ningeishije mimi!! final destination ni movie nzuri sana ile aiseeJana nmepona kidogo kwenye ajali.. Km final destination vile
Ndo nimeyaona sasa hiviSasa inabidi uende tu hospital jirani, sio kwa kusahau huko
Kumbukumbu zangu leo hazijakaa sawaWhy!![emoji15] [emoji15]
Nin tatzo!!? [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Ona alichomfanyia yule cowboyWacha niisake.. Mrembo katun sana huyu
Pole kwa kupanda mlimaNdo nimeyaona sasa hivi
[emoji4][emoji4][emoji4]Sahau hii ndogo tu.. Naja kumtibu my x.
Ayaaaaaaaaaa...mimi ni mcheza Netball bhaana sio bondia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulikuwa bondia nin ujanan mwako!!?
[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]Mniulize nin sasa mie jamani..
Mukongo mambo??Nzuri wajameni,
Vp mukongo