Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Huyo ni Undercover CID katumwa kupeleleza labda...eeh sa nisemeje!!???Post # 3 inaeleweka kiurahisi mbona
Watu wenye nia huwa hawana maswaliswali bali hupiga tu hodi
.............

Huyo ni Undercover CID katumwa kupeleleza labda...eeh sa nisemeje!!???Post # 3 inaeleweka kiurahisi mbona
Watu wenye nia huwa hawana maswaliswali bali hupiga tu hodi
.............

FIX ZA ST. BITOZ:
hapo juzijuzi kulikuwa na Nyumba moja ya tajiri ambaye alikuwa na wafanyakazi 20 + vijakazi hewa maisha yalikuwa poa akawa anawalipa mishahara mdogo lakini mambo yalisonga
Sasa baada ya kufariki Nyumba ikarithiwa na mdogo wake ambaye ni bahili na mpenda sifa..akaja na Sera ya kubana matumizi na kuvisaka vijakazi hewa...akapunguza kutoka watumishi 20 hadi kuwa 7 tena bila kuajiri wapya...akakurupuka tena kwa kuwazuia wasiende nyumba za jirani
Now mkurupukaji kagundua mambo magumu pesa hakuna halafu mshahara anaowalipa hao 7 ni mkubwa kuliko wale 20 wa zamani....now anamsaka Mchawi
NB;
ni fumbo km hujaelewa kunywa togwa ulale usinisumbue
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
***********************





Nini hicho?View attachment 395854
Hatimae nimefika
Kwa Wahindi au wachinaAsia huku
Jiran tafuta movie inaitwa "Constantine" inatishaaaaaaaaaaaaKuzimu
Mashkoro magenix2 Wasukuma wamezaliwa na ng'ombe x2Akili za Wasukuma
Wamezoea biashara ya ng'ombe
![]()
![]()
![]()
.........
watu wamepiga 100k na zaid ye anasema 1k??Kuna watu huwa wanatafuta kukela watu bila sababu, ni kama huyo Jamaa eti 1k
Post trilioni nadhanPost kiasi gani?
Sawa GeniusLeo ni one man army
Mi ni mchuna nini?? pesa au ngozi huo ni uchochezi!!!Sweetiepie uko wapi kichunaaa???
Leo saa nane usiku naanza zoezi la kutype post ishirini kwa dakika




Aniitaje kichuna sasa???Amelala
KwakweliWasukuma tuacheni. Yes, kidogo tulichelewa lakini tumeshaamka na tunapiga mbio balaa. We are doing just fine!