Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mkuu ustaarabu ni kitu muhimu
Mfano mtu umeingia umekuta post 200 zinazokuhusu
Je utareply zote?
Mstaarabu ataquote 5 tu
Hapa ni sehemu ya kujanja tuwe wajanja
Jisikie poa lakini.
Huu uzi unasomwa na watu wengi
.............................
Nimeelewa somo..... Siunajua malimbukeni wa JF tuna matatizo!! Ila nimejirekebisha sitarudia tena..... Na nitakuwa MUSTAARABU mpaka ukamilifu wa dahari ya KF.

Ahsante kwa muongozo.
 
Weka picha
1473314288654.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom