Makapuku Forum

Makapuku Forum

Si tutajikumbushia kiduchu lakin ukija nyumbani eti eeh? kiduchu tu [emoji22][emoji22][emoji22]. [emoji173][emoji176]

Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
We unajua mwenyewe inavyonogaga.. Hatuwez kuchovya, tumezoea kutoza kabsa, halaf unavyojua lalama.. Sasa tutakuwa nyumban kwa mama hatutakuwa free.

I wish ingekuwa hivyo, lakin akili yakataa cwt p..
 
Back
Top Bottom