Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Siku hizi option ya DELETE ndo inavuruga mpangilioJana niliona vibaya
Post per page = 50
Lakini unaweza kukuta #55 ipo first page km watu wamefutwa post 5
................
Siku hizi option ya DELETE ndo inavuruga mpangilioJana niliona vibaya
Asijali mama yangu, nikitua tu dar ntakuja kumjulia hali mama yangu.. Then nsanz yake nae anamuulzia, ntapanga siku nyingine nimlete mama amsalimie.Mzima anakusalimia sana, nadhani atafurahi sana akikuona.
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Eric bailly... Kufuli la kutumainiwa..Angalia vizuri
Eric bailly... Kufuli la kutumainiwa..
Oya bab tozi, vip ndugu yangu!!?Ishapita
Mshindi yupo post # 3
......................
Kuntakintee
Ndio maanaSiku hizi option ya DELETE ndo inavuruga mpangilio
Post per page = 50
Lakini unaweza kukuta #55 ipo first page km watu wamefutwa post 5
![]()
![]()
![]()
................
Kuntakintee
..........
NakupungiaHivi we dogo umetoroka shamba?
Mbwembwe mapema kabisa
Kunywa uji kwanza halafu osha vyombo na kufagia
![]()
![]()
![]()
................
, nawe "PUNGA"Acha kujipendekeza sina undugu na wwOya bab tozi, vip ndugu yangu!!?
Anapenda sifa
Huyu ana akili za bitoz usikute alienda kuipigia tonye...Leo katika Historia:
1911 - Guillaume Apollinaire anakamatwa na kufungwa kwakosa la kuiba picha ya Mona Lisa.

Morning my Twin naona leo umelala usingizi mwororo kabisa uongo?Morning family