shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ila ya gongolamboto yalikuwa balaaYalivyolipuka sauti ilifika hadi Mabibo
Kweli mabomu yasikie tu
......
Ila ya gongolamboto yalikuwa balaaYalivyolipuka sauti ilifika hadi Mabibo
Kweli mabomu yasikie tu
......
Aliyaweka nani kwanzaKm Ngosha eti matuta yaondolewe
Kweli madaraka ulevi
......
Hao huwa hawakosekaniKumbee kulikuaga na wababe wa kumjambisha castro![]()
Niko poa, net inanisumbua sanaPoa poa mkuu.
Mzima wewe?
Unakubali kuwa mkuu mussolin ataichukua 100k?Acha kumpa matumaini hewa shululu![]()
Sasa subiri uoneNdiyo kujihami kwenyewe
Hizi faraja hiziNikishindwa ntakuachia wewe sitaki iende nje ya familia yangu![]()
Hili swali sijui kama litapata majibuAliyaweka nani kwanza
Only in KFBahati gani inatokea kila siku
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..........
Cc sijalibiwiIla natumaini Tanzania itakuwa salama siku zote
MAKAPUKU'S HOMELAND VIBES: REMINISCING AFRICA'S FINNEST
1. Sambolera- Khadija Nin
https://youtu.be/3lpuMD_zJCY
2.Woman- Juliana Kanyomozi
3.Pray for me- Darey ft Soweto Gospel Choir
4. Sirimba- Ngoni ft Jaydee
5.Wish me well- Timi Dakolo
6.Unajua- Gilad ft Wendy Kimani
https://youtu.be/lhkslaPN-_4
7. Plus Vivant- Lokua Kanza
8.Tiff- Simi
9.Jailer- Asa
10. Haturudi Nyuma- Kidumu ft Juliana Kanyomozi
https://youtu.be/tw2Ky9mDvOA
11. Na gode- Yemi Alade
12. Nerea- Sauti Sol ft Amos & Josh
13. We are Africa- Rubunhu
https://youtu.be/dc0dubuoyYc
Hizi ni za jana. Ilibidi niziweke nikashindwa.
CC; Jimena , Sweetiepie , briz , shululu , Bitoz , werrason , makaveli10
Nilihisi hivyo piaNadhani ni tatizo lilijitokeza ndio maana baadhi ya nyimbo zimejirudia
Nite diaUsiku mwema
Nawe piaUsiku mwema
NasubiriSasa subiri uone