ALU255
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,089
- 2,126
Huyu dogo vipi tena
Huyu dogo vipi tena
Mzima sanaPoa poa mkuu.
Mzima wewe?
Huyo dogo hapo alikua ameokolewa kutoka kwenye kifusi kutokana na machafuko yanayoendelea huko syriaHuyu dogo vipi tena
Tumechoka lipicha lako
duh huruma sana kuishi nchi ya vita kama SyriaHuyo dogo hapo alikua ameokolewa kutoka kwenye kifusi kutokana na machafuko yanayoendelea huko syria
Nakupenda piaNdo mana nakupendaga [emoji8]
Very sadHuyo dogo hapo alikua ameokolewa kutoka kwenye kifusi kutokana na machafuko yanayoendelea huko syria
Hivi ndo kile kinakaa chini ya mkungu wa ndizi? Sijawah kulaView attachment 394303
Ushawahi kula??[emoji115]
Wivu[emoji115] [emoji115] [emoji115]Tumechoka lipicha lako
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
. .........
Shindwaaa[emoji134] [emoji134] [emoji134] utapata dharula muda ikiwa inanukia
Ndio chenyeweHivi ndo kile kinakaa chini ya mkungu wa ndizi? Sijawah kula
AmenIla natumaini Tanzania itakuwa salama siku zote
hahahAa eti kila siku!!Bahati gani inatokea kila siku
[emoji777] [emoji777] [emoji777]
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
..........
U will see, hapa naomba tu isiwe weekendShindwaaa
Vita tuiskie tu kwa wenzetu asee mana sisi huku tairi ya gari tu ikipasuka tunatafutana [emoji4]duh huruma sana kuishi nchi ya vita kama Syria
Nilikua sijui kama kinaliwa, sasa kinaliwaje kinapikwa ama? [emoji41][emoji3]Ndio chenyewe
Sasa soma faida zake ujaribu kula
Unanikumbusha mtoto nyumba ya jirani alikuwa anaiba akitoka nje anaifukia kisha anaigiza kuokota kila sikuhahahAa eti kila siku!!