Makapuku Forum

Makapuku Forum

MAKAPUKU'S HOMELAND VIBES: REMINISCING AFRICA'S FINNEST

1. Sambolera- Khadija Nin

https://youtu.be/3lpuMD_zJCY
2.Woman- Juliana Kanyomozi


3.Pray for me- Darey ft Soweto Gospel Choir


4. Sirimba- Ngoni ft Jaydee


5.Wish me well- Timi Dakolo


6.Unajua- Gilad ft Wendy Kimani

https://youtu.be/lhkslaPN-_4
7. Plus Vivant- Lokua Kanza


8.Tiff- Simi


9.Jailer- Asa



10. Haturudi Nyuma- Kidumu ft Juliana Kanyomozi

https://youtu.be/tw2Ky9mDvOA
11. Na gode- Yemi Alade


12. Nerea- Sauti Sol ft Amos & Josh


13. We are Africa- Rubunhu

https://youtu.be/dc0dubuoyYc
Hizi ni za jana. Ilibidi niziweke nikashindwa.

CC; Jimena , Sweetiepie , briz , shululu , Bitoz , werrason , makaveli10


Asante sana Dj wetu
Na za leo tuzitegemee au??
Napenda huo wimbo wa Juliana na kidumu
Sambolera nayo ni shida kubwa
 
Weka picha
Naona tayari wapendanao mmeshaambukizana hyo lugha yenu uchwarer
1473101698955.jpg
 
Sio kila mtu anaishi kutafuta utajiri. Wapo watu wengi sana wanafurahia kuwa na elimu nzuri na kutumikia jamii. Ndiyo maana tuna madaktari, marubani, waandishi wa vitabu na kadhalika. Hakuna hata nchi moja iliyoendelea kwa kuwa tu na matajiri. Nchi zinaendelea kwa kuwa na wasomi wazuri, hivyo kuwa na wahandisi, wanasayansi, madaktari na kadhalika. Mwisho mtu akikwambia Sio vizuri kuwekeza kwa ujumla katika elimu ya darasani, mwambie akatibiwe kwa madaktari uchwara ambao hawakujielimisha vizuri au apande ndege yenye rubani ambaye alikuwa anakacha masomo. Usichezee elimu, na tusidanganyike na hawa motivational speakers
............................................
Mi nahisi inazungumziwa maendeleo ya nchi sio mtu
.............................................
Hili ni Fumbo
 
MAKAPUKU'S HOMELAND VIBES: REMINISCING AFRICA'S FINNEST

1. Sambolera- Khadija Nin

https://youtu.be/3lpuMD_zJCY
2.Woman- Juliana Kanyomozi


3.Pray for me- Darey ft Soweto Gospel Choir


4. Sirimba- Ngoni ft Jaydee


5.Wish me well- Timi Dakolo


6.Unajua- Gilad ft Wendy Kimani

https://youtu.be/lhkslaPN-_4
7. Plus Vivant- Lokua Kanza


8.Tiff- Simi


9.Jailer- Asa



10. Haturudi Nyuma- Kidumu ft Juliana Kanyomozi

https://youtu.be/tw2Ky9mDvOA
11. Na gode- Yemi Alade


12. Nerea- Sauti Sol ft Amos & Josh


13. We are Africa- Rubunhu

https://youtu.be/dc0dubuoyYc
Hizi ni za jana. Ilibidi niziweke nikashindwa.

CC; Jimena , Sweetiepie , briz , shululu , Bitoz , werrason , makaveli10


Shukrani kaka kwa burudani lakini kuna namba zinakosekana.. Hizo namba 7 na 8 nimezikubali sana japo siielewi hiyo lugha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom