shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Nawe pia brizMuwe na usiku mwema wakuu
Nawe pia brizMuwe na usiku mwema wakuu
Na walimuwinda sana bila mafanikioHuyu Jamaa ni shida Duniani, CIA wanajua
Ni hatari aiseeWasiokupenda utawajua tu kwenye mazingira km haya
Asante...!!Leo ni siku ya kimataifa ya Hisani.
Hivyo kuazimisha siku hiyo najitolea hisani ya kuwanunulia mapapai makapuku wote.
Hahahahah umejuaje aisee yan mulemulee...Na ungechoma benki zote!!
Uchwara nae angebadilisha noti.

Na ungelipa parefu sanaIngenihusu hiyo
NamzinguaKwa nini wasema hivyo
Wivu tu unamsumbuaHuyo aliyetambulisha kodi ya Ndevu yeye kidevuni kweupe
Anatisha yule mzeehahaha...in Uchwara's voice
Leo ntaichekiTafuta ujionee Inaitwa Operation Wrath of God au operation bayoneta
Morng joh, niaje!!?Gudi moning'iii oli makapukuzi
Morning jonaxGudi moning'iii oli makapukuzi
Na kwako pia chiefMorng joh, niaje!!?
Asubuhi njema kwenu nyote, hope mmeamka salama.
Morning shem lake!Asante...!!
Nashukuru mkuu..Na kwako pia chief
Hakika, Mungu ni mwema sanaKumekucha. Tunamshukuru Muumba kwa siku mpya!