briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Kuna yule dogo wa syria Omran unaambiwa ana miaka mitano tu lakini akiskia bomu limepigwa hapo nje wala hashtukikweli mkuu! Huko Syria ni kitu cha kawaida kwao
Kuna yule dogo wa syria Omran unaambiwa ana miaka mitano tu lakini akiskia bomu limepigwa hapo nje wala hashtukikweli mkuu! Huko Syria ni kitu cha kawaida kwao
Duuuh we jamaa unapenda sifa100k
Daah inasikitishaKuna yule dogo wa syria Omran unaambiwa ana miaka mitano tu lakini akiskia bomu limepigwa hapo nje wala hashtuki
SafiNia ninayo, nguvu pamoja na uwezo [emoji4]
Weka picha [emoji3][emoji3][emoji3]Tunazo wachache sana
Sio mimi, tatizo ni bahati niliyobarikiwa.Duuuh we jamaa unapenda sifa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
Huyo mtoto kashazoea masikiniKuna yule dogo wa syria Omran unaambiwa ana miaka mitano tu lakini akiskia bomu limepigwa hapo nje wala hashtuki
Vita noma sana tuombe tusifikie hukoDaah inasikitisha
Isikie kwa jiraniVita noma sana tuombe tusifikie huko
Nikishindwa ntakuachia wewe sitaki iende nje ya familia yangu [emoji4][emoji4][emoji7]Safi
Tutashinda.Nikishindwa ntakuachia wewe sitaki iende nje ya familia yangu [emoji4][emoji4][emoji7]
Bahati gani inatokea kila sikuSio mimi, tatizo ni bahati niliyobarikiwa.
Weka picha [emoji3][emoji3][emoji3]
Ndevu bana [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ila natumaini Tanzania itakuwa salama siku zoteIsikie kwa jirani
Ndo mana tunamsihi mr uchwarer aachane na mikwara [emoji4]Isikie kwa jirani
Ndo mana nakupendaga [emoji8]Tutashinda.
Kifamilia zaidi [emoji7] [emoji7]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] utapata dharula muda ikiwa inanukiaNimepima upepo tu, nipo hapa