Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
Hapo nimemjua kikofia tu
Hiyo ni 100k inahusikaKuanzia sasa nitakuwa online 24/7
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mwongezee aridhikeNishampa kaka
Nyanya zimekudodea ndio maana huna bundle siku hiziKuanzia sasa nitakuwa online 24/7
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa ajili yako jumapili ya Leo![]()




Umletee Jimena wangu riwaya bas.. tumezimissKuanzia sasa nitakuwa online 24/7
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndo mana naona hakuna mlinganyo kati ya wanachotoa bure na hayo matangazo labda wana ajenda flaniNdio vyote hivyo ulivyotaja ni bure kabisa
Haha yani kaka mpaka maisha yangu nimeyatoa kwa ajili yake sasa hapo kuna nini nilichobakiza?Mwongezee aridhike
Basi sawaHaha yani kaka mpaka maisha yangu nimeyatoa kwa ajili yake sasa hapo kuna nini nilichobakiza?
Kwa ajili yako jumapili ya Leo![]()

DaaahCc sweetiepie
Huku make up za paka mapepe tuZile ni levels zingine kabisa ila kwa sasa hata zile pia mtu akizitaka anazipata japo itabidi akunjue sana mkono
Tatizo huku kuna make up uchwara...mchina kavamia soko!!Ila makeup za hao kina Bey nahisi ni tofauti sana na hizi za kina lulu
Poa ngoja niingie studio basiCc sweetiepie
Hilo nalo nenoTatizo huku kuna make up uchwara...mchina kavamia soko!!
Couple yenu naielewa sana Briz nae kakuiba kwa Szncy hahaha, tatizo Makaveli kanikuta nina majanga majanga tu mara ya mwisho nilikuwa housegirl...Huu ukweli pacha anaweza asiuelewe
Kwa sasa watu ambao wako real ni sisi tu.
Bond imekubali hadi basi


...ila nashukuru ana Juhudi sana kubring spark na bond between us...nachomuogopa Quigley 123 akija huwa ananikana!!!

