eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Oyoooo habari zenyu makapuku forum wenzangu mko poa humu
Tuma no. Yake pm niwasikiane naye..Kuna kadogo kangu hakana issue kama vipi muunganishe basi apige hiyo kazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni poa sana.. KaribuOyoooo habari zenyu makapuku forum wenzangu mko poa humu
Ndo nmekija kuivizia hata na hvyoHiyo ni 100k inahusika
Hilo nalo nenoMasihara hayo jamani....mweeeeeer basi movie iishe starring kafia kwenye maua!!
Sijui kama utaipataNdo nmekija kuivizia hata na hvyo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hilo nalo neno
Shkamoo afandeNyanya zimekudodea ndio maana huna bundle siku hizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Nashukuru sana nimepotea sana hapa jukwaani ila sio kesi nimerudi maana hapa jf maeneo ni mengi ya kujidaiNi poa sana.. Karibu
Mpaka akaamua kulala mbele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti nimemuiba, mi na Szczesny tulikuaga na nafasi sawa ila nlikua namuachia tu kwasabu alikua haiwezi battle na angeweza kujinyonga si unajua tena kabila lake?
Vipi mkuu uko poaNdo nmekija kuivizia hata na hvyo
Lakini movie ikiisha mi ntakonda jama [emoji4][emoji4]Hilo nalo neno
Hongera kwa kukamatia demu kareeeeeeUmletee Jimena wangu riwaya bas.. tumezimiss
mweeerHongera kwa kukamatia demu kareeeeeeView attachment 393436[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mimi ni monster arifu..Sijui kama utaipata
Kwani nina mvi[emoji41] ShikamooView attachment 393428[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]