Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Hebu weka pichaKama hataka kuamin achana nae.. Hatumlazimishi kuamin.
Hebu weka pichaKama hataka kuamin achana nae.. Hatumlazimishi kuamin.
Sio hapo, alikuwa ametoka chicha sanaNliwah kuona hiyo picha ya tukio beyonce alichafuka vumbi ka mdada wa uswahilini tu.. Sa sijui ilikua ni hapo?
Wenzenu wanatuchukulia mimi na cwt"p" wangu az a sample kwao, si vibaya na nyinyi mkitupigia chabo ndugu yangu



nyie hamuwez mkawa sample kwa kweli.. Kwanza sweetiepie mwenye haeleweki mara kwako mara kwa QUIGLEYUkishapata jina tuandae popcorn za sukari ili tuicheki pamojaInaitwaje?
Nipe hiyo tafasiri basi...![]()
![]()
kweli kakuacha
Wenzetu gani?? Hebu tupia kapichaWenzenu wanatuchukulia mimi na cwt"p" wangu az a sample kwao, si vibaya na nyinyi mkitupigia chabo ndugu yangu
Mpe atakachoNdo nimekuja la aziz
Tatizo Beyonce hakutumbuizaAlivyokuja bongo pamoja na jayz
Umeamkaje papaa, shululu huwa anasali sala fupi jumamosi jioni inatosha![]()
anaweza hata akasali leo ili wiki mbili zijazo atulieHupaswi kujuta kumsupport mumeo, you have to b proud of supporting him!!Huyu Makaveli yuko wapi lakini mie nilofanya kumsapoti yamenikuta!!![]()
Ilikuwa sijui kwenye uzinduzi wa kisima cha maji? Nakumbuka sana hilo tukioNliwah kuona hiyo picha ya tukio beyonce alichafuka vumbi ka mdada wa uswahilini tu.. Sa sijui ilikua ni hapo?
Kama mbele vileTuko poa, kiubaridi kwa mbali na jua hamna, dar utaipenda kwa leo

Hapa sijakuelewaNi kweli lakin sioni ratio, makampuni mengine makubwa kama google mbona hayana bure japo yana matangazo pia?
Nilienda shopping baby si unajua tena weekend bado ndefu... Nimekuletea vile vitu unavipendagaUlipotelea wapi?
Sijui ni mac&dev go to high xculInaitwaje?
Mi niko poa kabisa baeSijambo kabisa, hofu kwako tu
Kweli!!?Hata mimi nilitaka kumuuliza maana huwa napenda sana muv ya blacks
Naunga mkono hoja DJ Cobblepots awe anafanya mambo daily
Nishampa kakaMpe atakacho