Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Sweetiepie angeiweka muda huu old is ever gold, halafu usiku Dj Cobblepots nae akatupia za kwakeSweetiepie leo kimya ya kale ni dhahabu
Sweetiepie angeiweka muda huu old is ever gold, halafu usiku Dj Cobblepots nae akatupia za kwakeSweetiepie leo kimya ya kale ni dhahabu
Makeup zilitoka, kakawa kabovu.Nliwah kuona hiyo picha ya tukio beyonce alichafuka vumbi ka mdada wa uswahilini tu.. Sa sijui ilikua ni hapo?
Ombi lako nalitransfer kwa mh bitoz nyangemaHebu weka picha
Huu ukweli pacha anaweza asiuelewenyie hamuwez mkawa sample kwa kweli.. Kwanza sweetiepie mwenye haeleweki mara kwako mara kwa QUIGLEY
Kisa??Ombi lako nalitransfer kwa mh bitoz nyangema
Joto limepotea kabisaTuko poa, kiubaridi kwa mbali na jua hamna, dar utaipenda kwa leo
Mi cosmetics hiyo!Sio hapo, alikuwa ametoka chicha sana
Wow yani hapa hata home sitoki Leo. Thank you baby kwa kuhakikisha nafurahi alwaysNilienda shopping baby si unajua tena weekend bado ndefu... Nimekuletea vile vitu unavipendaga
View attachment 393395
Haha itakua ya kumalizia wikend hiiUkishapata jina tuandae popcorn za sukari ili tuicheki pamoja
Hili sasa ni tatizoSijui ni mac&dev go to high xcul
Mie huwa sihifadhi majina ya movie
Quigley anajipendekeza tu yule... Anaanzaje kuwa na mwali kama huyu kwa mfano.nyie hamuwez mkawa sample kwa kweli.. Kwanza sweetiepie mwenye haeleweki mara kwako mara kwa QUIGLEY
Ile picha ilionyesha yuko somewhere vijijini sanaIlikuwa sijui kwenye uzinduzi wa kisima cha maji? Nakumbuka sana hilo tukio
Kabisa.Haha itakua ya kumalizia wikend hii
Vuta subira kidogo..Wenzetu gani?? Hebu tupia kapicha
Basi huenda ni mbagala maji matituIle picha ilionyesha yuko somewhere vijijini sana
