makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,597
Mtawala wa mabavu, ukifanya fyoko umekwenda na H2ONipe hiyo tafasiri basi...
Mtawala wa mabavu, ukifanya fyoko umekwenda na H2ONipe hiyo tafasiri basi...
Google wana farm server wanagawa space sawa na bure, kuna vitu kama drop box na hata mailing services nafikiri ni bure piaHapa sijakuelewa
Ngoja niitafuteSijui ni mac&dev go to high xcul
Mie huwa sihifadhi majina ya movie
Hakuja kutumbuiza alikuja kumsapoti jayz na miradi yakeTatizo Beyonce hakutumbuiza
Ye ndio mzee wa mapichaKisa??
EwaaaKama mbele vile![]()
![]()
![]()
Ndio tukaona kasura kake halisi..Sababu ya kusweat![]()
![]()
![]()
Si tatizo sanaHili sasa ni tatizo
Ila makeup za hao kina Bey nahisi ni tofauti sana na hizi za kina luluMakeup zilitoka, kakawa kabovu.
Cc sweetiepieSweetiepie angeiweka muda huu old is ever gold, halafu usiku Dj Cobblepots nae akatupia za kwake
Ndio vyote hivyo ulivyotaja ni bure kabisaGoogle wana farm server wanagawa space sawa na bure, kuna vitu kama drop box na hata mailing services nafikiri ni bure pia
Sasa ndo ashindwe kutupa hata freestyle???Hakuja kutumbuiza alikuja kumsapoti jayz na miradi yake
MvutolessNdio tukaona kasura kake halisi..
Wenzetu ukitua tu kwao, unasikia kabisa pure oxygen, kwetu hapa ukitua tu JNIA vumbi tupuMakeup zilitoka, kakawa kabovu.
Zile ni levels zingine kabisa ila kwa sasa hata zile pia mtu akizitaka anazipata japo itabidi akunjue sana mkonoIla makeup za hao kina Bey nahisi ni tofauti sana na hizi za kina lulu
Leo pako vizuri sanaJoto limepotea kabisa
Hapo sasa swetiepie ndo aamue hii battle iishie wapQuigley anajipendekeza tu yule... Anaanzaje kuwa na mwali kama huyu kwa mfano.

Njema sanaaa, vp?Mzee wa mombasa vp