Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Tukafanye nini.. Wee utaendaje kwa mtu ambae unajua kabisa anakutaka..
Mbona mie nakaa mbali mita mia na vichenchede vyote vinavyonitaka...

Tukafanye nini.. Wee utaendaje kwa mtu ambae unajua kabisa anakutaka..
Mbona mie nakaa mbali mita mia na vichenchede vyote vinavyonitaka...

Sasa tukae mkao wa kulaMimi mwenyewe nilitaka kuuliza
Huna ujanja, mwisho wa gemu mke ni wangu, sukari yake mieTukafanye nini.. Wee utaendaje kwa mtu ambae unajua kabisa anakutaka..
Mbona mie nakaa mbali mita mia na vichenchede vyote vinavyonitaka...
Kama upo home, cheki hiyo ngoma ya BeyonceNtaileta usiku.
Pole shemejiLeo kazi ipo hakuna zuri upande wangu..
Nafaham unanijali ngoja tuone itakavyokuwa....Nilishamuonya SWEETIEPIE kuwa humfai
Cc sweetie
Umeamka vibaya my babyLeo kazi ipo hakuna zuri upande wangu..
Asipokutongoza ndo mstaarabu!Namshangaa....jirani yangu ni bonge la mstaarabu namkubali sana hadi kesho.
Anaumia kwa ndani anatamani akusemeshe but...Nachokupendea jirani huna maneno mengi u mpole.
Ila j.mosi na j.pil iliyopita niliwaletea...Quigley wewe sio mpenzi wa nyimbo zile lakini.Tangu akose kazi kwa jj...akuwa kimya
Cc sweetiepie
Ulimkiss sehem gani?Ishi.. Kwahyo mimi kumchumu pacha wako imekuwa nongwa.. Mke wangu mbona unataka unidhalilishe hvyo mpenz, its just a normal kiss, ambayo inaonesha namkubal shemeji yangu, anyway t seems nmekukwaza.. Am sorry hny.. Bt haipo kama unavyofikiria. Am nt that type.
Povu la nn?
Nimetoa tu mfano au kijiji chenu kinaongoza kwa mbumbumbu Tz
![]()
![]()
![]()
![]()
...............

Mhhhhh.....???!!! unaniruhusu kweli niende kwa Quigley mwenyewe???!!Hny, mie natoka kidogo, We si unaenda kwa Quigley mpenzi kumsalimia.. Ntarud kabla ya msosi wa usiku.![]()
![]()



Muda wa kuskiliza ndo huwa napitwaIla j.mosi na j.pil iliyopita niliwaletea...Quigley wewe sio mpenzi wa nyimbo zile lakini.
Bora wewe umesema![]()
![]()
![]()
![]()
uchochezi
![]()
![]()
Kuna shida gn na wakati tulikuwa wawili kwenu yy akiwa kazinMhhhhh.....???!!! unaniruhusu kweli niende kwa Quigley mwenyewe???!!![]()
Haya unamfaa wewe..Nilishamuonya SWEETIEPIE kuwa humfai
Cc sweetie
Pole shemeji
Ila usiwe unafanya hivyo maana utawakasirisha briz na Sweetiepie kitu ambacho hakipendezi