Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Jirani leo umeangalia yale magoma?
Niliyajua tu haya..Jaman mumuache jirani yangu tumetoka nae mbali.

Povu hilo la sabuni gani!!?Povu la nn?
Nimetoa tu mfano au kijiji chenu kinaongoza kwa mbumbumbu Tz
![]()
![]()
![]()
![]()
...............
Jirani nilikuwa naye hata kabla hujanioa mbona hivyo lakin! jirani yako ndiye nduguyo amenisaidia mengi sana kwakweli.Niliyajua tu haya..![]()
![]()
Nimemchumu shemeji..Hii nini hii....![]()
Ww huna wivu!!?Wivu huo....
Mimi naondoka uendelee kumchumu huyo shemeji wako...Nimemchumu shemeji..

Fongo alishasema hainaga ushemeji!Nimemchumu shemeji..
Cc makaveliLeo anapika yeye....tulikubaliana tangu jana.
Sikatai lakin si kwa kukwambia uende nyumbani kwa Quigley..Jirani nilikuwa naye hata kabla hujanioa mbona hivyo lakin! jirani yako ndiye nduguyo amenisaidia mengi sana kwakweli.
Kivipi? Mbona ankali sio wa hivyo?Jimena, huyu shululu ni ndumilakuwili.
Si twende wote au....Sikatai lakin si kwa kukwambia uende nyumbani kwa Quigley..
We una kesi kwanza wewe!Sikatai lakin si kwa kukwambia uende nyumbani kwa Quigley..
Jirani niaminiHhmm.. Hapana kwa kweli iman imepukutika.
Namshangaa....jirani yangu ni bonge la mstaarabu namkubali sana hadi kesho.Kivipi? Mbona ankali sio wa hivyo?