Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hhmm.. Wewe ulivyo b divorced alikuja kukufarij.. Wewe mtu anakutaka bado tu unataka ujiweke cloze..
Listen cwt, i cnt control u, ila upendo wako kwangu ndio unapaswa ukukontro.. Fanya kile akili yako inaona sahihi..
Siendi baby...tuspend weekend yetu home basi tuandae candlelight dinner yetu kwa ajili ya usiku, usiende huko unapotaka kwenda pls.
 
Huna ujanja, mwisho wa gemu mke ni wangu, sukari yake mie
Kama anakupenda atasema, n ni ruksa pia kumchukua, sikuumbwa kuteseka dunian, wala sikuumbwa kuumizwa na mapenz.. Niliumbwa niinjoi maisha nifaidi vile mungu alivyoumba kwa ajili yangu, ask her, kama anakupenda u r free, bt utasubiri kidogo nimrudishe nilipomchukua then utaenda kumchukua huko..

Go on boi ask her.
 
Hakika nimecheka hadi basi
Mkuuu
Mchezo huuuu
Hauhitaji
HASIRAAAAAAA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom