makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,429
- 108,445
Tukafanye nini.. Wee utaendaje kwa mtu ambae unajua kabisa anakutaka..Si twende wote au....
Mbona mie nakaa mbali mita mia na vichenchede vyote vinavyonitaka...
Tukafanye nini.. Wee utaendaje kwa mtu ambae unajua kabisa anakutaka..Si twende wote au....
Huyu nae alichemka saudi arabia na umodo wapi na wapi...!
Oya unavuka mipaka man [emoji4][emoji4] ama ndo mambo ya hainaga ushemela [emoji2][emoji2][emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji8] [emoji8]
Ina 40%Ayaa pole simu ikiisha chaj...au mambo ya powerbank?
Kesi gani hyo mpenzi!!?We una kesi kwanza wewe!
Hhmm.. Kaone kwanza, kidogo.. Kwani nani anao mwingi[emoji23] [emoji23]Kidogo....[emoji85][emoji85]
NakusubiliSema jirani.. Namalzia kukarangiza nakuja sheikh wangu.
Haya jirani yamekwisha hayo..Jirani niamini
Twende tukamfariji 123 amemdivorce ujue....[emoji46]Tukafanye nini.. Wee utaendaje kwa mtu ambae unajua kabisa anakutaka..
Mbona mie nakaa mbali mita mia na vichenchede vyote vinavyonitaka...
Nmesema yameisha jmani..Kweli, asisalimiane hata na jirani
Bora wewe umeliona ana kesi huyo....ngoja amalize kupika kwanza ataijibu.Oya unavuka mipaka man [emoji4][emoji4] ama ndo mambo ya hainaga ushemela [emoji2][emoji2]
Cc sweetiepie
Tofautisha handsome na shogaHuyu sio shoga kweli??? nna wasiwasi sasa
Huu mchezo hauhitaji hasira.Kamuita bitoz akuumbue.
Hala huku anataka kumpeleka my wife kwa Quigley.
Ikizima njoo uchukue powerbank yangu kama utahitaji.Ina 40%
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Haya jirani yamekwisha hayo..
Sawa, mjinga mie..Wivu ndio unamsumbua
Ya kumchum pacha wangu.Kesi gani hyo mpenzi!!?
Jirani ondoa shakaNmesema yameisha jmani..
[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]Hhmm.. Kaone kwanza, kidogo.. Kwani nani anao mwingi[emoji23] [emoji23]
Umeme ndio umerudiTwende tukamfariji 123 amemdivorce ujue....[emoji46]