shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kweli, asisalimiane hata na jiraniWivu huo....
Kweli, asisalimiane hata na jiraniWivu huo....
Nachokupendea jirani huna maneno mengi u mpole.Jirani niamini
Hatuna umeme jiraniJirani leo umeangalia yale magoma?
Mwambie aiseeJirani nilikuwa naye hata kabla hujanioa mbona hivyo lakin! jirani yako ndiye nduguyo amenisaidia mengi sana kwakweli.
Mpaka sasa bado??Ndo hapo sasa![]()
Ndo hapo sasa![]()
Wivu ndio unamsumbuaNamshangaa....jirani yangu ni bonge la mstaarabu namkubali sana hadi kesho.
Hhmm.. Mke wangu mbona hvyo mama watoto, kuna ubaya gani kumkiss shemeji..Mimi naondoka uendelee kumchumu huyo shemeji wako...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ayaa pole simu ikiisha chaj...au mambo ya powerbank?Hatuna umeme jirani
Hahaa.. Mie silagi bhana.Fongo alishasema hainaga ushemeji!
Hhmm.. Mke wangu mbona hvyo mama watoto, kuna ubaya gani kumkiss shemeji..
Haya niwie radhi mke wangu nmekosa.




Sema jirani.. Namalzia kukarangiza nakuja sheikh wangu.Cc makaveli
Kuna kaukweli hapo..Hamna mi wanaume nawaelewa sana na nawakubali mna urafiki hadi wa kufichiana uovu, wanawake wengi ni umbea umbea tu!! ukikuta mwanaume mmbea ujue ana element za ushoga.
Huyu sio shoga kweli??? nna wasiwasi sasa
Kamuita bitoz akuumbue.Kivipi? Mbona ankali sio wa hivyo?