ni kweli.Moja kati ya magoli bora kabisa kuyashuhudia.. Kifup berkgamp alikuwa ankupa vyote, burudani na raha.. Full control, anamchukua ayala, halafu anapiga outer moja matata sana, kama suarez au torres.. Au niseme mipigo ya uncle tom(tomas rosicky) na fundi modric
Mechi ya nyuma yake alikosa penalti, nahisi ilikuwa fainal ya F.A wakina martin keown, lauren etame Mayer n.k walimpiga sana masingi, walimkosesha raha kifupi, so kufunga game ile ilikuwa kama kalipa kisasi vile..Kwa nini
German power ht wacheze ovyo ushindi lazimaDaah sema bahati haikuwa yao wakapigwana Ujerumani.
hapo ndipo ukaibuka msemo maarufu " Never Underestimate the Germans "
Sasa hili goli ukute anakutangazia muarabu halaf mnaz wa uholanzi.. Utarudia kulitizama mara buku.Huwa naliangalia sana hilo gori, kumbuka pia alikuwa na ugonvi na kocha na hakwenda kumpa mkono, japo ule ushindi ulikuwa muhimu sana kwa kocha
1998 walitisha sana, pia Edgar Davis na Sedoff walicheza champion ligi fainali, Juventus vs Real Madrid, wote wakiwa viungo wa timu tofauti, wakati huo Zidane yupo Juve, hawakuamini kilichotokea uwanjani,
Marc Overmas the flying dutchman. Tulikuwa tumesahau
Wanaume hao.. Hapa van basten, hapa rud gullit, hapa frank rijkard.. Ac milan hatar hiyo... Wapi george opong weah.
Nakumbuka vizuri siku ile chupuchupu rekodi ife Van Nistelrooy aligongesha mtambaa panyaMsimu uliopita nyuma yake, mechi kama hiyo iliyopigwa OT, Man Utd tulipata Penati dk za jioni kabisa, Van Nistelrooy akaenda kupiga akapiga mwamba wa juu akakosa.
Mechi ikaisha 0-0. Baada ya hapo Wachezaji wa Arsenal wakiongozwa na kamanda Martin Keown, Lauren, Ashley Cole na wengineo wakamfanyia vurugu kubwa kwa kumshika kichwa chake wakimtuhumu alijiangusha ndio maana Utd ikapata Penati.
Pia walimtuhumu kuwa alimdanganya refa hadi capyltain Vieira akapewa red card.
hahaha...umenikumbusha mkasa wa Fundi wa mpira kutoka Argentina, Fernando Redondo alipoambiwa anyoe nywele zake ili ashiriki kombe la dunia mwaka 1998 akagoma.Kuna game moja ilikuwa Holland na Yugoslavia, Edgar na Denis walionesha ushilikiano mkubwa sana mpaka wakapata ushindi, kocha alikili kuwa Hao Jamaa hapatani nao lakini matukio ya uwanjani ya Hao Jamaa huwa yanamkuna sana
Michael reigzer beki No2, Holland to BarcelonaMarc Overmas the flying dutchman. Tulikuwa tumesahau
Bonge moja la outer!!
hahaha...Man Utd tulianza kupendwa na marefa toka zamani.
Tatzo watu wasilolijua, man u ni timu kubwa toka zaman.. Sasa ni ngumu kukosa wapenz wa man u.. Watu wamekuwa wapenz toka utoton kabla ya kazi hizi za urefahahaha...Man Utd tulianza kupendwa na marefa toka zamani.
Labda tuone msimu huu, lakini Arsenal inachosha kuangalia kwa kuwa wanacheza kivulana zaidiImekuwa malonylonya tuu.. Inaboa kuitizama, hasa kwa mtu unaelijua soka.. Kimchezo wana makosa kibao ya kurekebishika lakin wenger akawa hatak.. Nikaweka mahaba kwa atletico madrid mie.
Redondo ndio bora sana kwangu kwa muongo huohahaha...umenikumbusha mkasa wa Fundi wa mpira kutoka Argentina, Fernando Redondo alipoambiwa anyoe nywele zake ili ashiriki kombe la dunia mwaka 1998 akagoma.
Hivyo akaachwa.
akina Thomas Muller hao.German power ht wacheze ovyo ushindi lazima
......
Hapo ndugu zangu mmepata kifaa, kila nikimchunguza bailly eric namuona amekamilika kila idara, ana nguvu, ana akili, mzur kwa mipira ya juu, mzuri mipira ya chini, anajua kujipanga yeye na wenzake.. Full control, vyote anavyohitaji bek wa kisasa anavyo.. Nilitaka nisahau, ana timing nzur mnoo..Kweli mambo yanabadilika afadhali Bailly kaja jamaa ana roho ya paka
...........
Nakumbuka fainali ya champion ligi, Bayern na Man zile besela za wajerumani nilikua najua man hachomoi,akina Thomas Muller hao.
Bitoz unanikosha.