Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Man Utd ilikuwa ya moto sana!!
Man Utd ilikuwa ya moto sana!!
Niliipenda sana kwa sababu ya Edgar Davis,sedoff, Frank deboer, Dennis Bergkamp, kruveit na wengineo CocuMarco Van Basten katika ubora wake.
Soka lilipokuwa Mchezo wa Wanaume sio wavulana.
Unajua kwanini Van Nistelrooy alishangilia sana?
Kipua, alikuwa mnaz kweli kweli.. Alinikera mnoo.Ahsante kwa picha mkuu, hujawahi kuniangusha.
Huyo refa alikuwa mnazi sana wa Man Utd sahau kuhusu Howard Webb.
Mkuu huwa nina DVD za season reviews hivyo, kuna time huwa nacheki kujikumbushia.
Na anatechnic kali sana za ufundishajiPichani namuona Ronald Koeman ambaye enzi hizo alisifika kama beki mahiri anayecheza sana jihadi. Kwa kifupi alikiwa ni beki wa kukata na shoka.
Pia anashikilia rekodi ya kuwa beki aliyefunga magoli mengi zaidi katika mchezo wa soka. Alikuwa ni moto wa kuotea mbali katika kupiga faulo na mikwaju ya penati.
Kwa sasa ni kocha wa Everton ya Uingereza.
Nyakati ngumu hazipiti ila watu wgumu wanapita.
Hatari Mkuu...Dutch team conquered the whole Europe!!Uko sahihi kabisa, hiyo Holland ilitisha sana
Nashukuru kwa kulitambua hiloAhsante kwa picha mkuu, hujawahi kuniangusha.
Huyo refa alikuwa mnazi sana wa Man Utd sahau kuhusu Howard Webb.
Nakuunga mkono Mkuu Shululu, Mike Riley alionekana kama aliingia Uwanjani na maelekezo ya kuiua Arsenal.Ile mechi refa aliwabeba sana, hata hiyo penalty iliyotolewa haikustahili kabisa
Waliupiga mpira mwingi sana, atleast waliikaribia Uholanzi ya Kombe la Dunia la Mwaka 1974 pale Ujerumani, ambapo Uholanzi ile iliongozwa na Nahodha na Johan Cruyff na Johan Neeskes. Walifungwa fainali na mwenyeji Ujeruman.
Lakini kivutio kikubwa ilikuwa ni total football waliyoitandaza kamwe hawatasahaulika, maana mchezo wa fainali walifunga goli bila mchezaji yoyote wa Ujerumani kuugusa mpira.
Yohan Cruyff akahamishia falsafa ya total football alipokwenda Barcelona na yeye ndio mwasisi wa chuo maarufu cha mpira cha Barcelona kijulikanacho kama " La Masia " kinachotoa wachezaji mahiri kama Xavi, Iniesta, Messi, Busqet nk.
Wote hao.. Ila bergkamp kwa hakika alikuwa ananikosha zaid kwa soka lake, very talented player with skills and vision.. Amongst most completed player i have ever seen.Niliipenda sana kwa sababu ya Edgar Davis,sedoff, Frank deboer, Dennis Bergkamp, kruveit na wengineo Cocu
Sikuwahi sikia hiiNahodha Ruud Gullit alikuwa yuko poa sana.
Yeye, Marco Van Basten pamoja na Frank Rijkaard wakahamia Ac Milan ya Italy na wakawa wanaitwa Utatu mtakatifu wa Ac Milan toka Uholanzi.
Alaa...ndio uzuri upo KF, siku moja moja unapata nondo safi kama hizi.Mkuu umetisha, mimi ni mshabiki mkubwa wa Holland, historia hiyo siijui kwa undani hivyo
Pamoja!!Uko sawa kabisa diktekta.. Hujakosea hata pointi.
Hapo viera anamchimba mkwara wazza, wazza alinywea kichizi, alikuwa anamuangalia kwa kisura fulani cha uwoga..Soka lilipokuwa Mchezo wa Wanaume sio wavulana.
Leo tuna akina Takuma na Smalling
Kwa niniUnajua kwanini Van Nistelrooy alishangilia sana?
Bastern nilishawahi kutafuta video zake ....jamaa alikuwa mkali sanaHuyo pichani ni Marco Van Basten, anachukuliwa kama mmoja kati ya Wafungaji hodari kuwahi kucheza soka.
Kitu pekee kilichomfanya asiingie katika rekodi za wafungaji bora wa wakati wote ni kustaafu kwake soka mapema akiwa na miaka 26 kutokana na jeraha la goti lililoshindwa kupona.
Alikuwa kocha wa Uholanzi World cup ya mwaka 2006 pale Ujerumani.