Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hapo ndugu zangu mmepata kifaa, kila nikimchunguza bailly eric namuona amekamilika kila idara, ana nguvu, ana akili, mzur kwa mipira ya juu, mzuri mipira ya chini, anajua kujipanga yeye na wenzake.. Full control, vyote anavyohitaji bek wa kisasa anavyo.. Nilitaka nisahau, ana timing nzur mnoo..
4 games
3 Man of The Match

.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom