Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sasa hiyo unaizungumzia Dutch team ya World Cup 1998 pale Ufaransa, walifanya wonders sana, Timu ile iliundwa na wachezaji wengi toka Ajax Amsterdam kama vile Ronald Na Frank De boer, Van Der Sar.

Walifika Nusu wakatolewa kwa matuta, ila mechi dhidi ya Argentina, Denis Bergkamp alipiga goli la kideo sana.

Alipokea pasi ndefu ya juu toka nyuma, jinsi alivyoutuliza ule mpira na kumgeuza beki wa Argentina, Roberto Ayala ilikuwa ni burudani ya nguvu na kamwe haichoshi, kabla ya kufunga goli.

Pitia Youtube ujionee.
Moja kati ya magoli bora kabisa kuyashuhudia.. Kifup berkgamp alikuwa ankupa vyote, burudani na raha.. Full control, anamchukua ayala, halafu anapiga outer moja matata sana, kama suarez au torres.. Au niseme mipigo ya uncle tom(tomas rosicky) na fundi modric
 
1472750660878.jpg
1472750668577.jpg

Dream team
......
 
Moja kati ya magoli bora kabisa kuyashuhudia.. Kifup berkgamp alikuwa ankupa vyote, burudani na raha.. Full control, anamchukua ayala, halafu anapiga outer moja matata sana, kama suarez au torres.. Au niseme mipigo ya uncle tom(tomas rosicky) na fundi modric
Alikiwa ana B zote.

Ball balance
Ball control
Ball .........
Ball ......

Kwa mujibu wa mbwiga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom