makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,594
Sasa si aondoke tu.. Anatujazia choo..Akili zishachoka
Sasa si aondoke tu.. Anatujazia choo..Akili zishachoka
Hamjaamua kumuondoa nadhani!!Sasa si aondoke tu.. Anatujazia choo..
Bitoz tuwekee pichaKama namuona vile.. Mwanaume stefan effenberg..
David ndio alimuharibu WengerHamjaamua kumuondoa nadhani!!
Wapenz tumemchoka, ila hao mabosi ndio kero.Hamjaamua kumuondoa nadhani!!
Unakumbuka walivyokuwa wanacheza kina tonny Adams, winteban na Lee Dixon walivyokuwa wanajitoa muhangaTatizo wenger hawafanyi wakacheze kiume.. Mcheki diego simeone na wahuni wake..
KweliDavid ndio alimuharibu Wenger
hahaha si naskia ana ana hisaWapenz tumemchoka, ila hao mabosi ndio kero.
Mwisho wake umekaribiaWapenz tumemchoka, ila hao mabosi ndio kero.
UmeonaKweli
Hana..hahaha si naskia ana ana hisa
Ukuta wa Berlin!! Kipa na back four yake yote ndio ulikuwa ukuta wa Arsenal na England.Unakumbuka walivyokuwa wanacheza kina tonny Adams, winteban na Lee Dixon walivyokuwa wanajitoa muhanga
Mabosi bado wanampendaMwisho wake umekaribia
Anawaingizia faida kubwaMabosi bado wanampenda
nmeibahatisha post ya buku 9 jero.. Hongera kwa 95kMabosi bado wanampenda
hahaha hongera sana!!Hana..
Hapo timu ilikuwa ya kiume.. Warembo ndio kina henry, kanu, bergkamp..Unakumbuka walivyokuwa wanacheza kina tonny Adams, winteban na Lee Dixon walivyokuwa wanajitoa muhanga