Makapuku Forum

Makapuku Forum

1472734924155.jpg
 
Kuna pambano moja la Man Utd Vs Arsenal liliitwa Battle of the Buffet 2 " lilifanyika Old Trafford ambapo Arsenal alilala 2-0 na kukatishiwa rekodi yake ya mechi 49 bila kufungwa.

Katika pambano hilo, Gary Neville alitumia muda wake mwingi kumchezea rafu Reyes hali iliyomfanya Wenger kuhoji kwanini Mwamuzi Mike Riley hakumpa red card Gary Neville.
1472735325758.jpg
1472735330288.jpg
1472735337527.jpg

Ikawa ndo kisingizio
........
 
Mkuu inabidi ujifunze aina ya rangi
Hiyo purple [emoji175] imeingia je hapa!!!???

[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3] wakuu hapo inabidi m-concetrate na hiyo figure na si rangi coz hayo sio mauwa rose mpaka yalete maana kwa rangi... Kopa itabaki kuwakilisha penzi tu hata iwe ya njano ama nyeusi... Ova
 
Alikuwepo katika Uholanzi kali iliyotisha Ulaya katika miaka ya mwisho ya 1980's

Hapo walikuwepo na wachawi wengine wa kidachi kama Frank Rijkaard, Ronald Koeman na Marco Van Basten huyu tulivaa hadi suruali zilizoitwa Van Basten.

Uholanzi hiyo ilitikisa Ulaya kwa total football. Walichukua ubingwa wa Euro 88.
Uko sahihi kabisa, hiyo Holland ilitisha sana
 
Back
Top Bottom