makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,995
- 104,502
Kaone na pua yake ile.View attachment 391737
G.Neville akijikausha baada ya kufanya madhambi na refa kupeta huku kina Cole wakitaka apigwe chekundu
......
Kaone na pua yake ile.View attachment 391737
G.Neville akijikausha baada ya kufanya madhambi na refa kupeta huku kina Cole wakitaka apigwe chekundu
......
Hapo ilikuwa kabla ya ndoa..Nlikua najua ye ndo mtunza hela zako
Nzuri kuliko ya Mr. Bean WengewengeKaone na pua yake ile.
Duuuuh....Huko Mbeya watoto waliozaliwa siku ya leo wamewa majina ya MWAKAJUA



Waliupiga mpira mwingi sana, atleast waliikaribia Uholanzi ya Kombe la Dunia la Mwaka 1974 pale Ujerumani, ambapo Uholanzi ile iliongozwa na Nahodha na Johan Cruyff na Johan Neeskes. Walifungwa fainali na mwenyeji Ujeruman.
Nahodha Ruud Gullit alikuwa yuko poa sana.
Huyo pichani ni Marco Van Basten, anachukuliwa kama mmoja kati ya Wafungaji hodari kuwahi kucheza soka.
Marco Van Basten katika ubora wake.
Wenge wenge pua kama mr bean..Nzuri kuliko ya Mr. Bean Wengewenge
![]()
![]()
![]()
![]()
.............
Huko Mbeya watoto waliozaliwa siku ya leo wamewa majina ya MWAKAJUA

Pichani namuona Ronald Koeman ambaye enzi hizo alisifika kama beki mahiri anayecheza sana jihadi. Kwa kifupi alikiwa ni beki wa kukata na shoka.
Mkuu umetisha, mimi ni mshabiki mkubwa wa Holland, historia hiyo siijui kwa undani hivyoHuyo pichani ni Marco Van Basten, anachukuliwa kama mmoja kati ya Wafungaji hodari kuwahi kucheza soka.
Kitu pekee kilichomfanya asiingie katika rekodi za wafungaji bora wa wakati wote ni kustaafu kwake soka mapema akiwa na miaka 26 kutokana na jeraha la goti lililoshindwa kupona.
Alikuwa kocha wa Uholanzi World cup ya mwaka 2006 pale Ujerumani.
Watoto wetu watakuwa smart zaid ya hao.. Wawe wanapiga calculation kama baba yao.. Miaka 5 tu kila mtu na laptop yake anajifunza kupiga code, miaka 10 tu wasolve calculus kama isaac newton mwenyewe..Watoto wenu Hao
Cc makaveli
Ahsante kwa picha mkuu, hujawahi kuniangusha.
Uko sawa kabisa diktekta.. Hujakosea hata pointi.Waliupiga mpira mwingi sana, atleast waliikaribia Uholanzi ya Kombe la Dunia la Mwaka 1974 pale Ujerumani, ambapo Uholanzi ile iliongozwa na Nahodha na Johan Cruyff na Johan Neeskes. Walifungwa fainali na mwenyeji Ujeruman.
Lakini kivutio kikubwa ilikuwa ni total football waliyoitandaza kamwe hawatasahaulika, maana mchezo wa fainali walifunga goli bila mchezaji yoyote wa Ujerumani kuugusa mpira.
Yohan Cruyff akahamishia falsafa ya total football alipokwenda Barcelona na yeye ndio mwasisi wa chuo maarufu cha mpira cha Barcelona kijulikanacho kama " La Masia " kinachotoa wachezaji mahiri kama Xavi, Iniesta, Messi, Busqet nk.