Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hela zote hizo huwa zinakaa kwenye mfuko wa kanzu?

Cc sweetiepie
Unamuita wa nin nawe nae.. Mbona unataka kuniltea nongwa babu.. Mambo ya kibarazan unataka kuyapeleka uwan ndugu yangu.

Mwenzio pesa kama hzo huwa sizipelek popote, ilikuwa ishapangiwa matumizi, nikusubiri siku tu ifike, nikajionea tabu kuiweka halaf nikaitoe. Ndio hapo kati dogo akaziotea.
 
Nlikua najua ye ndo mtunza hela zako
 
Alikuwepo katika Uholanzi kali iliyotisha Ulaya katika miaka ya mwisho ya 1980's

Hapo walikuwepo na wachawi wengine wa kidachi kama Frank Rijkaard, Ronald Koeman na Marco Van Basten huyu tulivaa hadi suruali zilizoitwa Van Basten.

Uholanzi hiyo ilitikisa Ulaya kwa total football. Walichukua ubingwa wa Euro 88.
Wadachi kwenye ubora wao.
 
Kuna pambano moja la Man Utd Vs Arsenal liliitwa Battle of the Buffet 2 " lilifanyika Old Trafford ambapo Arsenal alilala 2-0 na kukatishiwa rekodi yake ya mechi 49 bila kufungwa.

Katika pambano hilo, Gary Neville alitumia muda wake mwingi kumchezea rafu Reyes hali iliyomfanya Wenger kuhoji kwanini Mwamuzi Mike Riley hakumpa red card Gary Neville.
Naamin hata F.A hawakutaka arsenal waweke rekod ya 50 games bila ya kufungwa.. Refa sijui alikuwa man u yule nyama yule..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom