Sanaaaaaaa
Pamoja MkuuAsante kwa historia
R.I.P KanaliMaskini Gaddaf walimmaliza
Pamoja sanaAsante kubwa la madikteta
Tuko pamoja!!Asante sana
Nikitoa boko
Alikuwepo katika Uholanzi kali iliyotisha Ulaya katika miaka ya mwisho ya 1980'sGullit virasta
Kuna pambano moja la Man Utd Vs Arsenal liliitwa Battle of the Buffet 2 " lilifanyika Old Trafford ambapo Arsenal alilala 2-0 na kukatishiwa rekodi yake ya mechi 49 bila kufungwa.Alikuwa fundi kichiz.. Nahis sasa hiv anamalzia mpira wake espanyol
Huyu mtu ana matatizo na hela...na kwanini uweke hela kwenye kanzu, hukuona sehemu nyingine! baby naeHela zote hizo huwa zinakaa kwenye mfuko wa kanzu?
Cc sweetiepie
Mpe somo la kutunza pesa kama wewe unavyofanyaga...Sawa

Mkuu inabidi ujifunze aina ya rangi
Hiyo purpleimeingia je hapa!!!???



Panafaa sana hapa
Thanx Bitoz
Alikuwepo katika Uholanzi kali iliyotisha Ulaya katika miaka ya mwisho ya 1980's
Hapo walikuwepo na wachawi wengine wa kidachi kama Frank Rijkaard, Ronald Koeman na Marco Van Basten huyu tulivaa hadi suruali zilizoitwa Van Basten.
Uholanzi hiyo ilitikisa Ulaya kwa total football. Walichukua ubingwa wa Euro 88.