briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Ni njema sana kakaHakika niko poa, cjui wewe
Ni njema sana kakaHakika niko poa, cjui wewe
Unajua labda picha imetengenezwa bhaana....hivi jamaa ni mguu wake ule kwel!!?Mguu twaita paja la ndege
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jj is ma sissyHhhmm... We si wa jimena wewe
#Hashtag ni nini hiyoo??
Vipi hali kiongozi..Morning chief!
Unajua labda picha imetengenezwa bhaana....hivi jamaa ni mguu wake ule kwel!!?
Ni poa sanaa ankali, kibarid flan tu kwa mbaliZa iringa
Kwanza hata keki yako na 123 hukuileta humu...uchoyo huo...Luv yaaaa


Mi nimeokota mara ya mwisho June 2014 nusu niiache labda mwenyewe atarudi kuitafuta ila nikapiga moyo konde nikaichukua kuliko niache aokote mtu mwingine bureMara ya mwisho mi kuokota hela i was 12yrs, watu hawadondoshi siku hizi![]()
![]()
![]()
Time will tell1 oct
Ndio habar ya mujini huyo kwa sasa...upweke unaumaaa Szncy katuacha sasa.Wewe chokoz eeee
Mi niko poa sanaMi sijambo, hofu na mashaka ni kwako tu?
Ujue nimecheka sanaaaWew wajua kuwa nina lesen ya sket zote, inakuwaje hivi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()




[HASHTAG]#TeamWekaPicha[/HASHTAG]Hashtag ni nini hiyoo??
huo ndio mfano wa hashtagHuyu kijana sijui ananitaftia nini.. Unajua bastola yangu toka ninunue sijamuadabisha mtu zaid ya kupopoa ndezi.. Sasa muache, ananitaftia kifungo cha maisha huyu.Cc: Makavelli
SanaaaaaLovely![]()
Ilikuwa yangu naiombaMi nimeokota mara ya mwisho June 2014 nusu niiache labda mwenyewe atarudi kuitafuta ila nikapiga moyo konde nikaichukua kuliko niache aokote mtu mwingine bure
Tayari nimempa leo asubuhi kwa mara ya kwanza si unajua tuko honey moon...afu mjanja eti akaniandalia breakie kabisa ili aninogeshee...Umesha mgawia tayari!!!


Hahaha nimeipenda hii... Ndo kifupisho chake lakinIfike mahali haya majina uangalie namna ya kufupisha![]()
![]()