makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,442
- 108,486
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40]Cha gerezani au cha shati
Njoo nikupe umtungue mtu ndio utajua kama cha gerezan ama cha shati
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40]Cha gerezani au cha shati
Sijambo Shem...ulipotea sana aiseeHujambo sweetie?
Najua wew uu mwaminifu tokea udogoni, ndio maana nakupenda sana dadangu wa pekeeeMi nimeokota mara ya mwisho June 2014 nusu niiache labda mwenyewe atarudi kuitafuta ila nikapiga moyo konde nikaichukua kuliko niache aokote mtu mwingine bure
Ndogo tu ni sawa na kama elfu tano hivi kwa TshInteresting... Ilikua sh ngap?
Hahahaha[emoji2][emoji2]Ifike mahali haya majina uangalie namna ya kufupisha[emoji37] [emoji37]
Ni hatari sana jirani[emoji23][emoji23]Pesa inatafutwa kwa tochi, harafu idondoshwe tena,
Kwenye daradara siku hizi watu wanakomaa kudai sh100 mpaka hatari
Usijali kaka nlikua nawakumbusha tu kwamba mi ndio Mr wake [emoji4] [emoji4]Niwie radhi ndugu yangu...
Unajua nalinda lesen yangu isiwe domant thus y napitia kotkoteSasa baada ya kuona wewe na 123 moto moto nikapata makazi mengine...we nawe
Hela mbuzi tu sema kuna mtu alikuwa anashinikiza niiache maana kwa vyovyote alieangusha atakuwa ni mwanafunziIlikuwa sh ngapi mpaka unaogopa
Huu ni uchochezi sasa niko honey moon usiniharibie...Huu mshale kwa makavel
[emoji450] [emoji450] [emoji449] [emoji449] [emoji450] [emoji450] [emoji450] [emoji181] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Hapo sasaHhhmm... We si wa jimena wewe
Kupatwa kwa Mfalmr juaMbarali kuna nini wakuu
[emoji12] [emoji124]Weka picha sasa
JJ anahusika hukoNi poa sanaa ankali, kibarid flan tu kwa mbali
Ndio.... Yani sisi ndio habari ya mjini kwa sasaNi kama obama na michelle ama jiga na bey
Kifungo cha shati tu gerezani mchezo!Cha gerezani au cha shati
Kuna mambo yalinipoteza shem lakeSijambo Shem...ulipotea sana aisee
Wala, mwizi hapaswi kuhurumiwaHuu ni uchochezi sasa niko honey moon usiniharibie...
Ankali hujafika siku zote unasema hivyoNgoja nifanye mpango nije ili tulitokomeze kabisaaaa
Eti baby ukitumia ile pistol ukaenda jera si ndio utaniacha nae au..??Huyu kijana sijui ananitaftia nini.. Unajua bastola yangu toka ninunue sijamuadabisha mtu zaid ya kupopoa ndezi.. Sasa muache, ananitaftia kifungo cha maisha huyu.