The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,582
- 7,242
Ewaa.. Hapo tu ndio nazid kukuzimikia, kama embe vile, halianguki mbali na muembe.. Ninachowaza nawe unakipa nafasi kichwani..Basi haina shida tunaweza kulijadili hili suala

Hahaa...Nilivyokuwa nimepania bahati yao tu
Nahisi nakuzimikia zaidi komando kipensi wangu...Ewaa.. Hapo tu ndio nazid kukuzimikia, kama embe vile, halianguki mbali na muembe.. Ninachowaza nawe unakipa nafasi kichwani..![]()




Ewaa, marhaba bibie, kama ulikuwepo kwa head yangu.Yani iwe full time job![]()
![]()
Zipo colgate zenye green.. Natumia colgate herbal, nyingine blue n red, sijawahi kuona black.. Ila madawa mengi ya kichina huwa ni black..Colgate je? sijui ni nini..ngoja nicheki...![]()
Yah..Nimecheck herbal ina green
Labda alikuwa mbali kimawazo.. Maisha haya mpendwa..Asikuone kwanini?
HayupoHuyu je Yupo??![]()

Wamechakaa kweliFainal uzeeni
Bamutu ba kongo, uko na speed, ndyo vile unawekaga na rekod ya 94k. Ndyo pighaga na makofi kwa werrrrrraaaasonnn...

Nahisi ni majukumu na mambo kuingiliana ndio uchaw.Kikofia na hadithi zake akaamua kuishia kati
Wanyakyusa ndio wenyewe ila wasukuma walishika chati kipindi cha nyuma lakini kwa sasa wamerudia nafasi yaoHivi kumbe sasa hivi wanyakyusa wamepokea kijiti cha wasukuma
Analipa gharama zakeAnataka anitoe roho huyu
Ni shida kubwaMtaalamu wa mamovii....duuuh namkubali sana huyu mzee
Na wazee ni wa Jamii gani??Hawa mabinti ni Jamii ya Kagame.
Utasubiri sanaaaNawaangalia tu maboya
100k nimeibinafsisha
![]()
![]()
![]()
...........
Ile tik tak ilikuwa kibokoWhy Mamii![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Inanihusu hiyo..Bado 5k tuingie kwenye gombania goli...... 100k yaja