Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ndio yupi kwenye muvi?
uploadfromtaptalk1472483395437.jpg
 
Karibu kwenye top tena kama kawaida yetu ya kila siku

Ila leo napenda kutumia fursa hii kuwaambia woote mlokuwa mna sapot segment hii ahsantemi sanaa, na now Szczesny ataondoka JF na kuendelea na maisha mengine, nilipenda ni tufike wote kwenye 100 k but i wish you guys the best sta potea KF tuu ila napotea JF kwa ujumla and nawakubali sana wakuu kwa miez takriban mi 3 au 4,ya kuwa pamoja kama familia ahsanteni sana sanaa.

So nta shusha kumi kali za mwisho then i think tuta agana, then ntaweka rekodi ya kuwa member aliye aga JF( stupid me).

Twende kazi
 
*MJINI SHULE*

Kuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu.

Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigia zaidi ya mara kumi (10) bila ya mafanikio!

Kila nikimpigia simu hajibu simu zangu, nikahamua kumwandikia message kwa WhatsApp...!

_Hello Mamu, Nakupigia simu sio kukudai pesa zangu, ila nataka kukwambia kuwa hapa Ubungo Plaza kuna wadada wawili walikuwa wanapigana kumgombea Mumeo (Baba Nang'oto). Ilikuwa vuta nikuvute na mumeo alikuwa kasimama tu anawaangalia akitabasamu. Baada ugomvi kwisha akaondoka na mmoja wao na kumwacha yule mwingine akitukana matusi kama hana akili nzuri._

--
Kisha nikaituma ile message

Baada ya dakika kama mbili hivi, akanipigia simu nami wala sikupokea simu yake... Akapiga tena na tena kama mara ishirini hivi wala sikupokea.

*Akatuma message akiniuliza...*

_Hao wanawake unawajuwa, ...mume wangu na huyo mwanamke wameelekea wapi, wewe unawajuwa hao wanawake waliopigana, yaani hapa nimechanganyikiwa kwa kweli...!_

Nikaisoma message yake wala sikuijibu, nikamchunia kimyaaa...!

Akanipigia tena simu mara tano, sikupokea simu zake, kimyaaa...! Akaniandikia message nyingine....

...Nakupigia jamani pokea simu basi nina pesa zako nataka nikupe... Naomba basi tukutane mjini unihadithie vizuri...!


Nami nikamjibu...

_Nitumie hizo pesa kwenye Namba yangu ya Mpesa, ili nipitie sheli kujaza mafuta nije mjini kukupitia nikupeleke mahala walipo...!_


Baada ya dakika 2 message ikaingia, kuangalia balance yangu ya Mpesa, nikakuta kaingiza pesa zangu zote ninazo mdai...!

Nikazima simu nikajilalia zangu kimyaaa.... Kama sio mie!
 
Number 10, U.S. Army/ Jeshi la marekani
1472487763055.jpg
mpaka mwaka 2012 wana jeshi wana wake wa USA walikuwa ni asilimia 14% ya jeshi la marekani, na takribani wana wake 165000 walo, pia kuna wana wake 35000 wengine wa ziada kama ma ofisa, zamani ilibidi wachukue wana wake wabaya na wengi walikuwa wna jiweka kama wanaume na walipewa kaz ngum vile vile hvo jeshi halikuvutia wana wake , lakini sku hizi kuna nafas za kaz za kike na wanawake wana penda kuingia jeshini na ni wazuri wana jipodoa kabsaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom