Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
AaahLeo ni siku ya filamu nchini Urusi.
Uwa naenda huku miaka mingne
AaahLeo ni siku ya filamu nchini Urusi.
Nilikuwepo, wewe jeHaaa
Ulikuepo kipind hko!!?
Mzee wa dimba la chini.Haman Enzi zake alikuwa vizuri sana
Poa mkuuSina la ziada, kwa Udhamini mnono wa 90k na kikofia Jonax tukutane kesho.
Sabato njema.
AsanteUko sahihi katibu
Pia huyu jina lake nalipenda Sani AbachaNdio nchi inayoongoza kwa mapinduzi ya kijeshi.
Pia kuna Jenerali Sani Abacha. Rais aliyefariki akipiga shoo na michepuko.
The WallApplication inasumbua sana watu JF
Matatu.. Hiz gari za kenya.Bibi yangu anayo matatu
ExactlyNgoja siku yake kwenye leo katika historia ifike, mzee Mussolini atakupa habar zote, hata km ni wa tandale.
HahahaZa USA ndio tamu
Weka pichaBibi yangu anayo matatu
The blood of JesusWapi Mel Gibson
Am kul ule chakula mapema mechi zna anza mapema leoFine, you?
Asante ubarikiwe.Happy Sabbath dikteta
Kwahiyo nimuite shemeji?Ndugu yetu huyu
Happy birthday kwakeHajafa. Anakula matunda yake ya U-loyal
Kwenye hizo jezi za tottenham, mbona puma anamkimbia jogoo...

Alonso usimsahau aseeHamman, carragher, gerrard, luis garcia, harry kewel, john riise na + + +.. Hii liver niliipenda mnoo..
Kupo japo sio kama zamaniHivi kule mahaba Beach bado kupo??