Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona wamewanyima watu uhuru wao
Ndo sheria hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona wamewanyima watu uhuru wao
Hii itakuwa kampeni ya polis
Jifotoe halafu kapost FB au WhatsApp ukioneHii itakuwa kampeni ya polis
Hatari sanaJifotoe halafu kapost FB au WhatsApp ukione
Mi akaunti zangu natumia kusoma tu
Nchi imeijaa udikteta nowadays
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
..........
Na angaliaHatari sana
MarudioNa angalia
ARSEBAL V LIVERPOOL
U 23
ArsayNO keshakalia 3:1 DK 73
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
........
Manfongo afanye ahamie Japan5, shera mbili za japaniView attachment 388303 1. Ni marufuku kuwa mnene japani, kwa mtu yeyote mwenye miaka 40 na zaid hutakiwi kuzidi kiuno cha nchi 32 na kwa wanawake kiuni kiszid nchi 36, na serikali za mtaa zenye watu wanene wengi hupigwa faini za kila mwezi
2. Japan ni lazima kuheshimu wakubwa ,kiasi kwamba kama una kaka yako amempenda girlfriend wako na ana nia ya dhati ya kumuoa , ilikuonesha una muheshimu lazima umwachie huyo mpenzi wako aolewe na kaka yako , hapo ni sheria ya kuheshimu wakubwa