Makapuku Forum

Makapuku Forum

1908 - Lyndon Baines Johnson anazaliwa.

Ni Rais wa 36 wa Marekani.

Alikuwa Rais kufuatia mauaji ya Rais John F. Kennedy huko Texas.

Anabaki kuwa Rais pekee nchini Marekani kula kiapo cha Urais katika Ndege ( Airforce One ).

Hii ilikuwa ni baada ya yeye makamu wa Rais kupewa Urais kutokana na kifo cha JFK.

Hivyo akaapishwa akiwa kwenye ndege kutoka Texas yalipofanyika mauaji na kurudi Washington kuanza majukumu ya Urais.
1472282633393.jpg
1472282637453.jpg
1472282641417.jpg
1472282645405.jpg

Rais mabahati
.......
 
Aaaah
LBJ
Nixon alisema huyu ni mmoja ya wana siasa waliokuwa wana iweza siasa kweli kweli

"Me and LBJ we both wanted so bad to be presidents, except i wasnt ready to kill for it" Richard M Nixon
LBJ kwa kiasi kikubwa atakuwa alihusika kwenye mauaji ya JFK kama anavyohisiwa.

Pia kuna taarifa za siri za mawasiliano ya simu kati yake na Edgar Hoover aliyekuwa bosi wa FBI zilinaswa kuhusu mipango ya kudondosha utawala wa JFK.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom