Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
HahahahahaNgoja siku yake kwenye leo katika historia ifike, mzee Mussolini atakupa habar zote, hata km ni wa tandale.
Mweeer!!!
HahahahahaNgoja siku yake kwenye leo katika historia ifike, mzee Mussolini atakupa habar zote, hata km ni wa tandale.
Anazo range rover tatuMatatu.. Hiz gari za kenya.
Au
Matatu.. Range rover anazo tatu,
Niweke sawa hapo diktekta mussolin
Huyu alikuwa anaogopwa balaa, alivyokufa watu walishangilia sanaNdio nchi inayoongoza kwa mapinduzi ya kijeshi.
Pia kuna Jenerali Sani Abacha. Rais aliyefariki akipiga shoo na michepuko.
Sio ndugu, wananiiga tu kwa vile wananizimikiaHivi n'djamena na jimena ni ndugu au!!??
Morning!Morning family
Ankali nakuona tuCc sweetiepie
hahaha...Wazee wa fix katika ubora wenu
Anamuogopa Dikteta uchwara hujasikia maenzao kavunjwa miguuHuyu mbona kajificha humo ndani penye giza hataki tuone suraaa...!
Huyo kaifaidi DuniaHajafa. Anakula matunda yake ya U-loyal
MkuuKumbuka alikuwa ni mpinzani.
Ubarikiwe mkuuAsante sana na Sabato njema
hahaha...kama mbunge wa ccm
Hahaa... Lihifadhi hilo kwa head![]()
Jina nmelipenda sanaaa
Asante kwa magazeti...Morning all
Magazeti ya leo jumamosi yanawajia kwa hisani ya binamu Szczesny na 10 kubwa
Karibu tuangalie yake yaliyojiri katika kurasa za mbele na za nyuma kama ifuatavyo
View attachment 388464View attachment 388465View attachment 388466

SanaaaNawe unalipenda hilo??