Makapuku Forum

Makapuku Forum

1928 - Mangosuthu Buthelezi anazaliwa.

Ni kiongozi wa upinzani nchini Afrika Kusini.

Aliwahi kukaimu Urais wa Nchi hiyo mara 22 katika Uongozi wa Mandela na Thabo Mbeki.

Yaani alikuwa akiachiwa nchi pindi Rais akienda nje ya Nchi.

Ni sawa na Mbowe aachiwe Nchi na Magu akienda ziara ya nje ya Nchi. Hapa kwetu haiwezekani na haitokaa itokee.
Hapa labda chama cha kijani kife kwanza ndio hilo linaweza kutokea
 
1984 - David Bentley anazaliwa.

Mwanasoka wa zamani wa klabu za Blackburn, Tottenham na timu ya taifa ya England.

Alitabiriwa makubwa sana, kamamrithi wa David Beckham lakini hakuwahi kufika katika matarajio hayo.

Majeraha yalimfanya astafu soka mapema.
Tatzo lake huyu alikiwa anataka kuwa Beckham completely, mwishowe yakamshinda.. Alikuwa anageza kila kitu.
 
1928 - Mangosuthu Buthelezi anazaliwa.

Ni kiongozi wa upinzani nchini Afrika Kusini.

Aliwahi kukaimu Urais wa Nchi hiyo mara 22 katika Uongozi wa Mandela na Thabo Mbeki.

Yaani alikuwa akiachiwa nchi pindi Rais akienda nje ya Nchi.

Ni sawa na Mbowe aachiwe Nchi na Magu akienda ziara ya nje ya Nchi. Hapa kwetu haiwezekani na haitokaa itokee.
1472281187983.jpg
1472281191928.jpg
1472281195804.jpg

Mangusu Bata
......
 
1973 - Dietmar Hamann anazaliwa.

Ni mwanasoka wa zamani wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Ujerumani.

Ndiye shujaa aliyebadilisha mchezo baada ya kuingia akitokea Sub, wakati Liverpool ilipokuwa nyuma kwa goli 3 bila katika fainali ya Uefa 2005 dhidi ya Ac Milan.

Kuingia kwake kulibadilisha mchezo na kufanya Liverpool irudishe magoli yote na kushinda fainali ile.
Huyu anastahili kuitwa shujaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom