Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Mimi mzima kaka, hofu kwako wewe tu.Mimi mzima sana, u hali gn wewe dada
Mimi mzima kaka, hofu kwako wewe tu.Mimi mzima sana, u hali gn wewe dada
Uko vizuri sanaKuna jambo zito sana linaendela nyuma ya pazia...jimmy Carter orijino inawezekana alifariki ili wasimpoteze na pengine walimuhitaji ikatengenezwa kopi yake ( Clonned) badala yake labda...sasa atapoteaje?!!
NdioYuleeee anakuja....![]()
![]()
![]()
![]()
Mi leo ndo nakwambia ilikuwa inagoma password baada ya kuclear ndo ikabidi ni uninstall kisha niirudisheHaisumbuagi....mi mara zote nafanyaga hivyo ht application zingine zinapozingua
............
Nashukuru niko poa, binamu hajambo?Mimi mzima kaka, hofu kwako wewe tu.
Halotel nimo ck nyingi mkuu
Huyo Anko kiazi kweli
Na mara nyingi hazina majibu sahihiZnaitwa conspiracy theories hzo
Msha anza tenaMimi mzima kaka, hofu kwako wewe tu.
Wajanja tunafanyaga hivyo kwa application zote......hatunaMB za kuchezea yaani MB 40+ mnapoteza kizembeNimekupata vizuri
HelloHello
PoleeeMi leo ndo nakwambia ilikuwa inagoma password baada ya kuclear ndo ikabidi ni uninstall kisha niirudishe
Voda naitumia kwa call tu, internet ni halotel ndo mpango mzima![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kipind kile nliwalalamika voda
Nkaenda tgo nao zengwe tuu
Nkaseam hawa hawanijui
YesNa mara nyingi hazina majibu sahihi
Utajua mwenyeweMi leo ndo nakwambia ilikuwa inagoma password baada ya kuclear ndo ikabidi ni uninstall kisha niirudishe
Nafurahi kukuonaHello
EeehVoda naitumia kwa call tu, internet ni halotel ndo mpango mzima
Kwanza wazuri na muziki wanaimba vizuri yani ni sheedar tupu mjiniLooh
Hui ndo mziki sasa
Ulipotelea wapi??Mpenziiii