shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Bila kusahau pichaMpaka sasa kashafanikiwa kuwageuza Ng'ombe watu wangapi???
Tuanzie hapo basi
Bila kusahau pichaMpaka sasa kashafanikiwa kuwageuza Ng'ombe watu wangapi???
Tuanzie hapo basi
Yule kuna watu wali mtaniaga waliamkia mto rufiji hukoYule atakuwa mrundi
Ndiyo tunavyofanyaKadri ukuta unavyokaribia na figisu nazo zinazidi...eti JF application yangu ilinigomea ghafula ikabidi nifute nidownload mpya...![]()
Mi niliclear data na nikaclear cache ikawa inagoma password nikaifuta ndo nikairudisha tenaUmepoteza bundle....ungeenda setting kwenye manage apps nuclear data & cache kwenye app......ndo njia rahisi
................
Asante, majukumu nilikuwa kaziniJamani Shululu...tulikukosa sana leo. Karibu sana
Inasumbua kweliAm niko ngudi kabsa na wewe app ina sumbua!!?
Kila muimbaji ana ladha yakeHahahaha
Haiwezekan
Kwenye simu si Kuna SETTING .....Unaenda sehemu ya MANAGE APPS utaona application zako zote hapa sasa APP YA JF unaiCLEAR DATA & CACHE.....kisha ukirudi utaanza upya JF kwa kuLOG IN na kurekebisha setting kidogo mfano POST PER PAGE n.kNdio inakuaje hiyo...mi siielewi, nielekeze taratibu inakuaje
Pole sana jirani...komaa tu ndio life yenyewe hii jua kali tu.Asante, majukumu nilikuwa kazini
HahahaInasumbua kweli

Anatisha kama ni hivyoYule kuna watu wali mtaniaga waliamkia mto rufiji huko
Iligoma kweli si masihara...sijui nihamie Hallotel...Nyie line zenu tuu hzo
Mbona mimi jf safiii bila shda
?Haisumbuagi....mi mara zote nafanyaga hivyo ht application zingine zinapozinguaMi niliclear data na nikaclear cache ikawa inagoma password nikaifuta ndo nikairudisha tena
HelloKila muimbaji ana ladha yake
Ndio mkuuYaaan jf yangu iko poaaaa
Dada nakuonaPole sana jirani...komaa tu ndio life yenyewe hii jua kali tu.