Makapuku Forum

Makapuku Forum

Dunia ina mambo hii...ngoja nikiupata mkasa kamili nitaumwaga hadharani.

ila kwa ufupi, Rais Jimmy Carter alipatwa na Ugonjwa ambao ulihatarisha uhai wake, hivyo akachukua likizo ili akatibiwe na hakuonekana hadharani kwa miezi takribani miwili, baada ya hapo ndio utata ulipoanza.

Wamarekani wanaamini Jimmy Carter aliyekuja kuonekana baada ya miezi miwili si yule mwenyewe.

Huyu alikuwa tofauti na yule kwa vitu vingi hasa muonekano, urefu na hata kiumri, wakiamini Jimmy Carter amebadilishwa yaani wameletewa Jimmy Carter namba 2.

Ngoja nizisake nondo zaidi...
Hii sasa kiboko
 
Shusha nondo
 
Weka picha
1471801274655.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom