Makapuku Forum

Makapuku Forum

JOKE OF DA WEEK:
Mzee Akilimali ndo kibabu pekee Bongoland ambacho ni mbumbumbu na fukara wa kutupwa lakini chenye ushawishi hapa mjini na fix za kutupia.....km huamini hiki kibabu ndo chanzo cha migogoro mara kwa mara pale Jangwani........View attachment 385404
Kweli watu na nyota zao

................
Huyu babu nae...
 
FIX ZA BITOZ:
Leo nazungumzia kuhusu Mahakama mbili zinazopatikana huku Uswaz.....sio zile unazofikiri wewe

1/Mahakama ya Simu
Hii Mahakama inapatikana pale opposite na Manzese Tip Top ...ni sehemu maarufu kwa kesi za simu km huamini ukiwa unapita eneo hilo ndani ya gari fungua dirisha halafu ringishia simu!!!
Hii ndo sehemu maarufu zaidi kwa vibaka wa simu hata ukiwa na kinokia cha tochi hawakuachi
1471803315402.jpg

2/Mahakama ya ndizi
Hii nayo ni bonge la Mahakama kushinda Mahakama kuu ...jengo lake linapatikana Mabibo karibu na Big Brother.....
Kesi zote zinazohusu ndizi huamuliwa hapo hakimu au jaji ni muuza ndizi,kwa hapa Joto City hii ndo Mahakama yenye mamlaka ya juu kwenye kesi za ndizi ukishindwa hapa huwezi kukata rufaa popote pale
1471803579544.jpg

NB:
Sehemu hizo zinaitwa hivyo km nklivyoandika
*********************************
 
FIX ZA BITOZ:
Leo nazungumzia kuhusu Mahakama mbili zinazopatikana huku Uswaz.....sio zile unazofikiri wewe

1/Mahakama ya Simu
Hii Mahakama inapatikana pale opposite na Manzese Tip Top ...ni sehemu maarufu kwa kesi za simu km huamini ukiwa unapita eneo hilo ndani ya gari fungua dirisha halafu ringishia simu!!!
Hii ndo sehemu maarufu zaidi kwa vibaka wa simu hata ukiwa na kinokia cha tochi hawakuachi
View attachment 385411

2/Mahakama ya ndizi
Hii nayo ni bonge la Mahakama kushinda Mahakama kuu ...jengo lake linapatikana Mabibo karibu na Big Brother.....
Kesi zote zinazohusu ndizi huamuliwa hapo hakimu au jaji ni muuza ndizi,kwa hapa Joto City hii ndo Mahakama yenye mamlaka ya juu kwenye kesi za ndizi ukishindwa hapa huwezi kukata rufaa popote paleView attachment 385413
NB:
Sehemu hizo zinaitwa hivyo km nklivyoandika
*********************************
Mahakama ya ndizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom