Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
HahahaMbona mbaya hvo
HahahaMbona mbaya hvo
Hapo sasaHahaha
Et briz man 4ongo aende
Alf we usiende haki kweli hyo!!?
Yaan mkuu wamekamia wakat wangeacha tuu watu tujipigie kelele tukale ugali tulale yaan hata wasnge athirika kisiasa kwa llteMzuie mapema bhana, maana jamaa wamejiandaa...
We nae....usiende lazma tukufunge pingu siku hiyo huendi popote!!
HiiiiFavourite character ya TITANIC....![]()
Hiii haikubaliki swtHapo sasa
Atleast wastaniIla wakiitwa waliofaulu umo

TunakulagaaaaJJ hawezi kuwa mjane, maana siku hizi hamnaga ushemee

Ntaificha tu japo yeye ntamwambia nimeimezaUsijaribu! maana utameza funguo unakufa unapaliwa koo la hewa unakwenda unamuacha Binamu yako anajivinjari.
Unapendwa we nae...hupendeki!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hzo njia jaman mara fungo imezwe
Nifungwe pingu
Khaaa!!
Yani kweli kabisa unaondoka unaacha watoto walelewe na Bri....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aki et utameza funguo!!
Acha ti riski nikipona, shujaa
Nikifa nakuwa mhanga

Hahaha kuna midevu aliifuga ndio aliniharibu sanaHiiii
Ndo umefanya nimuone mbaya zaid
Ngoja tuone itakavyokuwaHiii haikubaliki swt
Huo hata mi sijawahi kuusikiaSawa mkuu, usisahau kuniita pindi ukiishusha. Nixon aliweka rekodi ya pekee sana.
Pia ushawahi sikia mkasa wa kupotea kwa Rais Jimmy Carter?
Hivi yule dada yuko timamu kweli maana mi naona kama anataka umaarufu wa kiajabu.Anaboa sana, maana kujisifu kwingi kama Ungabure aka Mchele na hela.
Maths ifutweToa Maths na Bios.
Thank you

Hahaha
Ttzo nyie msha anza kugombana ata sja ondoka bado
Kwenye wosia nmesema msigombane
