Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Speech labda utaisomea nyumbani kwakoSawa ntaandaa Brief speach kwa kipindi chote tulichofahamiana...Jimena atanisaidia mana she knows you better than i do.
Speech labda utaisomea nyumbani kwakoSawa ntaandaa Brief speach kwa kipindi chote tulichofahamiana...Jimena atanisaidia mana she knows you better than i do.
HahahaUsijaribu! maana utameza funguo unakufa unapaliwa koo la hewa unakwenda unamuacha Binamu yako anajivinjari.
Sawa mkuu, usisahau kuniita pindi ukiishusha. Nixon aliweka rekodi ya pekee sana.Halaf kuna ishu ya Rais Nixon uliniomba ni ilete naifanyia kaz mkuu
Itauja saf kabsa
Briz hatatHahaha kawashika sana
Twin mtemi weye...your wish is my command maam.Speech labda utaisomea nyumbani kwako


HahahaaNashukuru sana, nitakukumbuka komredi wangu.
Toa Maths na Bios.Hahahaa
Sisi tulikiwa tuna waambia walim waweke option ya masomo ma 5,,maana hata 7,hayana tja
HahahaSpeech labda utaisomea nyumbani kwako
Le mashatizzHao ndo kina le baharia
Le akili kubwaz
Toa Maths na Bios.
Asa bi mkubwa mtemi huyoHahaha
Ttzo nyie msha anza kugombana ata sja ondoka bado
Kwenye wosia nmesema msigombane
Mbona mbaya hvoJimena unamkumbuka huyu binadamu...View attachment 385384
Hakuna namna sasa...Kwakweli huu wimbo utazidi kuharibu sana watu.... Na ndio unapendwa sana
Mzuie mapema bhana, maana jamaa wamejiandaa...Please Szczesny usiende. Siku hiyo ntakufungia ndani kisha ntameza funguo tuone utatokea wapi
We nae....usiende lazma tukufunge pingu siku hiyo huendi popote!!Hahahaa
Am humbled
Ngoja tuone kitatokea nn kwa kweki kaka
swadaktaaa..Ha
Hasira
HahahaAsa bi mkubwa mtemi huyo
Favourite character ya TITANIC....Mbona mbaya hvo
