Makapuku Forum

Makapuku Forum

Anataka tujiite AL SHABAAB
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........................

Inawezekana kabisa, kwani nyie wote si vijana humu?

Maana ya Al Shabab ni vijana, kama ulikuwa huelewi.

Hata Yanga ukiwatafsiri Kiarabu wanakuwa ni Al Shabab Afriqiya, vijana wa Kiafrika au Young Africans.
 
8d655edac514db7cc7c53f859de5cace.jpg
e3559c7fddc630e8ad1d47ac234de0f9.jpg
77bc09ab78c9dcf0dcfbd1e68f4957a7.jpg

[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
Back
Top Bottom