EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Nani tena nimwachie?Nawewe mkuu!! Mwachie mwenzako bana
Nani tena nimwachie?Nawewe mkuu!! Mwachie mwenzako bana
Hahaaa utachoka kweliChezea peterchoka wewe.....
Punguza povu bibi, wewe ni bibi yetu tu usitake kupunguza busara zako kwa kitu kidogo.
mmmhhh!!! nipo pembeni hapaNimeshatendwa mkuu mimi ni single and available sasa
Yupo na anafollow sana huu uzi tatizo hajaridhia kutambulishwaNawe mlete shemeji
tatizo hunipendiUpweke unanisumbua na hili baridi ndio kabisaaa
Wewe mbanie tu. Wengine wapite mlango wa nyumaYupo na anafollow sana huu uzi tatizo hajaridhia kutambulishwa
MmmmmmmmUnaweza kutusaidia jina jingine? Samahani lakini
Pamoja kaka.Pwenti![]()
tatizo umeiba mume wa mtuYupo na anafollow sana huu uzi tatizo hajaridhia kutambulishwa
Ngoja uone utajibu niniMmmmmmmm
Sina haja ya kutoa jibu wakati hata wewe jibu unalo.Jibu swali, kama hauna jibu gonga like.
Wacha kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
Kapuku wahed.
Anataka tujiite AL SHABAABUnaweza kutusaidia jina jingine? Samahani lakini
Unaweza kutusaidia jina jingine? Samahani lakini
Basi ntakuwa nimejiibia mwenyewe..... Maana hana mwingine zaidi yangutatizo umeiba mume wa mtu
Atakujibu uliyemuuliza. Ila naomba utusaidie jina tuBila sam
Bila ya samahani, kwanza ungejibu swali langu.
Mmmmh. Hebu potezea kakaAnataka tujiite AL SHABAAB
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
...........................
Ndo maana hataki kumtambulisha!tatizo umeiba mume wa mtu